Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana Jf Nimesukumwa kuandika post hii baada ya kupata tetesi kuwa mwenyekiti anaenda Tabora kutowa msaada wakati mpaka leo hii hatuja pokea mishahara yetu. Mwezi ulopita tumepokea tar 8,juzi...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu kuna mshikaji wangu mmoja ndug yake yuko nje sasa kuna vitu anataka amatumie lakini kwa njia ya Diplomatic shipment transfer.ila kaaambiwa aulizie procedures. Sasa hajui hata hiyo njia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The First National Training of Male Circumcision Providers is being held at the Primary Health Care Institute in Iringa Town. Since 2006, the Ministry of Health and Social Welfare has been...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HAKIMU wa Mahakama ya Mwanzo Misungwi mkoani Mwanza, Restuta Kamani (40) pamoja na karani wa Mahakama hiyo Scholastica John (40), wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Askofu mkuu wa jimbo katoliki mbeye Everist Chengula amekemea vikali kitendo cha kakobe kuponda waraka uliotolewa na kanisa katoliki.Askofu huyo amedai kuwa kakobe haijulikani kapata vipi uaskofu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mheshimiwa Slaa, Inakuwaje chaguzi zote zinavurugika? Je hankujiandaa kwa hii mikutano? Uchaguzi wanawake Chadema nao balaa Imeandikwa na Lucy Lyatuu; Uchanguzi wa Mwenyekiti wa Baraza la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilipata bahati ya kuangalia kipindi cha uswazi kinachorushwa na channel 5. Wiki ya juzi waliahidi kwamba ktk kipindi kifuatacho wataonesha dokta Manyaunyau akitafuta 'nyoka' ambaye wananchi wa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Saad Specialist Hospital Khobar City, K.S.A Tel#: +96638826666 When Calling; the answer machine will answer you then choose ext.# 3 Or Call the direct line for the charity program...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamaii nimepitia pitia kwenye internet niakakutana na kitu kinaitwa CIA fact book. NIkajaribu kutafuta information kuhusu nchi yangu Tanzania, kweli nilichokutana nacho huko hata mimi mwenyewe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zilizozagaa sehemu mbalimbali mchana huu zinasema Dk Edward Hosseh, bosi mkuu wa Takukuru amejiuzulu wadhifa wake. Wenye taarifa za uhakika watupashe.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
9/2/2009 Serikali yatishia kuzifuta taasisi zikiwemo za dini Na Salim Said SERIKALI inakusudia kuzifutia taasisi 100 za dini nchini, kutokana na kushindwa kutekeleza majukumu yao na kutoa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mi naomba mtusaidie jamani ,nimeona watu wanalalamika awajalipwa mishahara yao.mpaka leo...kuna marafiki zangu nao wanalalamika wacha...kuhusu mshahara tena makampuni makubwa na mashirika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huyu ni miongoni mwa wafanyakazi wanaojenga Hotel ya ghorofa 25 pale opposite na Peagot House. Wafanyakazi wote wanavaa Hard hat kama one of the PPE lakini hakuna hata mmoja mwenye Safety boot na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salim Said na Ummy Muya SHURA ya Maimamu Tanzania imezindua rasmi mwongozo wa pamoja kwa Waislaam kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani. Waraka huo, ambao...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Nionavyo mimi wakati fulani ni kama Menejimenti za Benki huwa zinapendelea wateja wao kulundikana kwenye foleni ndefu na kushinda ndani ya benki zao kama vile hawana kazi za kufanya. Utakuta benki...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wiki iliyopita Muungwana mmoja alikwenda Kutibiwa Bugando, Hospitali ya Rufaa Kanda ya Ziwa --- alipofika mapokezi akaambiwa hana appointmenta kwa hiyo hawezi kutibiwa vinginevyo alipe shilingi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wengi wanaamini hilo Discuss
0 Reactions
67 Replies
8K Views
Siasa ni kilimo, Hii ilikuwa ni sera ya zamani sana ya kisiasa hapa Tanzania. Japo sikuhusika nyakati za sera hii enzi za mwalimu Nyerere, bado nafikiri kuwa ilikuwa sera nzuri. siasa za siku hizi...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mwandishi wa habari wa siku nyingi sana Mzee etu Mohamed Ali Karim , maarufu kama Mzee masomo wa huko zanzibar amefariki Duniya. Mzee huyu ni maarufu sana pale darajani ana duka lake la vitabu na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakati nasafiri kwenda ng'ambo niliacha kwenye account yangu sh. million 7 katika moja ya benki hapa nchini. Niliishi huko kwa muda wa miaka minne. Baada ya kurejea nilikuta account yangu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom