Siasa ni kilimo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa ni kilimo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Emma M., Sep 3, 2009.

 1. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa ni kilimo,
  Hii ilikuwa ni sera ya zamani sana ya kisiasa hapa Tanzania.
  Japo sikuhusika nyakati za sera hii enzi za mwalimu Nyerere,
  bado nafikiri kuwa ilikuwa sera nzuri.
  siasa za siku hizi ni vijembe , mbwembwe na mikogo tu.
  CCM imesahau mambo ya Nyerere.
  Sijui kama CHADEMA yao, itazingatia hili .
   
 2. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hayo yalikuwa ni moja ya maazimio ya Nyerere. lakini yote yalikufa mara tu baada ya yeye kung'atuka madarakani.
   
Loading...