Askofu amvaa kakobe!

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,237
Askofu mkuu wa jimbo katoliki mbeye Everist Chengula amekemea vikali kitendo cha kakobe kuponda waraka uliotolewa na kanisa katoliki.Askofu huyo amedai kuwa kakobe haijulikani kapata vipi uaskofu huo.Kaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa kakobe haaminiki katika utumishi anaoufanya.Masheikh pia wamempinga.
Kakobe kama Kingunge?
 
Back
Top Bottom