Kazi bila PPE ni hatari sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi bila PPE ni hatari sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lucchese DeCavalcante, Sep 3, 2009.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Huyu ni miongoni mwa wafanyakazi wanaojenga Hotel ya ghorofa 25 pale opposite na Peagot House. Wafanyakazi wote wanavaa Hard hat kama one of the PPE lakini hakuna hata mmoja mwenye Safety boot na hii ni hatari sana kwa usalama wao. Hivi serikali yetu mambo kama haya haiyaoni???
   

  Attached Files:

 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wakaguzi wakija anaweza simamishwa kama rushwa haitatawala,bse basic PPE ni helmet,buti,reflectives clothes na miwani.Others ni kama dust masks na earplug.
   
 3. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Na hii sie hapo tu most contructions sites hapa bongo wafanyakazi hawavai basic PPE gears kabisa. Ni hatari sana sijui nani yupo responsible kwa hili, anyways Bongo haina mwenyewe
   
Loading...