Tanzania Zaidi Uijuavyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Zaidi Uijuavyo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mhafidhina, Sep 3, 2009.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanajamaii nimepitia pitia kwenye internet niakakutana na kitu kinaitwa CIA fact book. NIkajaribu kutafuta information kuhusu nchi yangu Tanzania, kweli nilichokutana nacho huko hata mimi mwenyewe sikifahamu wala sijawahi kukijua.

  Hii inamaanisha Wenzetu wamarekani wanaifahamu nchi yetu vizuri hata kuliko sisi wenyewe tunavyojijua. Tena hapo wameielezea kwa uchache tu. Hebu angalia hio link kuhusu Military ndio nimechoka kabisa...!

  https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html#top
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Unasema Wamarekani wanaifahamu Tanzania vizuri kuliko sisi au unasema CIA wanaifahamu vizuri Tanzania vizuri kuliko sisi?

  Kama kuna kundi la Watanzania wanafanya kazi makampuni ya kuchimba mafuta Marekani, wakawa wanaifahamu Jiolojia ya MArekani vizuri kuliko Mmarekani wa kawaida unaweza kusema Watanzania wanaifahamu Marekani vizuri kuliko Wamarekani?

  Unamaanisha kusema CIA wanaifahamu Tanzania vizuri kuliko Mtanzania wa kawaida? Is that surprising?

  There are people in America that could name some obscure outskirts of Dodoma better than myself. And then there Americans who think Canada is to their South and Mexico is to their North, and Tanzania is an island off of Australia, complete with its own cartoon character "the Tanzanian Devil" and if you are black and say you are from Tanzania don't be srprised if they mistake you for Australian aborigines, that is if they know of their existence at all.

  In any case, the concepts of "The Average American" or "The average Tanzanian" is a statistical myth. The average American has 2.3 children, how real is that?
   
Loading...