Mashirika ya umma ,makampuni kulipa wafanyakazi tar 38 inaa maana gani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashirika ya umma ,makampuni kulipa wafanyakazi tar 38 inaa maana gani??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 3, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Mi naomba mtusaidie jamani ,nimeona watu wanalalamika
  awajalipwa mishahara yao.mpaka leo...kuna marafiki zangu nao wanalalamika wacha...kuhusu mshahara tena makampuni makubwa
  na mashirika makubwa..najiuliza hakuna sheria inaoweza kumbana muajiri tar 25--28 awe ameshatoa mshaharaa wa wafanyakazi???
  NIkwanini watu wanafanyakazi awalipwi mshahara
  muda unaotakiwa lakini mfanyakazi akikosa siku mili tu ofisini anafwata na memo...hii ni haki wapi vyama vya wafanyakazi.....
   
Loading...