Tanzia: Mwandishi mzee Mohd Karim amefariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzia: Mwandishi mzee Mohd Karim amefariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Barubaru, Sep 3, 2009.

 1. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mwandishi wa habari wa siku nyingi sana Mzee etu Mohamed Ali Karim , maarufu kama Mzee masomo wa huko zanzibar amefariki Duniya. Mzee huyu ni maarufu sana pale darajani ana duka lake la vitabu na vile vile ni agent wa magazeti karibu yote huko zanzibar kwenye duka lake Masomo bookshop. darajani.

  Mzee masomo amefariki kwa ugonjwa huko dar hospitali ya Agakhan na amezikwa zanzibar.

  Mtoto wake ni Farouk Karim ambaye pamoja na kuwa kiongozi wa ZFA vile vile ni mwakilishi wa radio one na ITV.

  Allah ailaze pema peponi roho ya mwandishi huyu ambaye amewahi kufanyakazi BBC n.k.

  Inna Lillahi wainna illaihi rajihunna.
   
 2. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwenyezi Mungu amlaze pahala pema Mzee Karim. Nakupa pole Swahib yangu Kijana Farouk.
   
 3. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inna Lillahi wainna illaihi rajihunna.

  Baba yake Faruk Karim, namfahamu huyu mzee wa Masomo Bookshop ,darajani zanzibar.

  Inna Lillahi wainna illaihi rajihunna.
   
Loading...