Nchi barani Africa inayoipita Sudan kwa ajiali za ndege?

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,187
671
hivi karibuni ndege imeripuka nchini sudan ikiwa kiwanjani KRT kutokana na machafuko ya hali ya hewa.

nnakumbuka nchi hii ni ajali nyingi hutokea na viongozi wengi wa upinzani na serikali wamefariki kwa ajili za ndege.

sasa kulikoni? na jee iko nchi africa inayoipiku nchi hii?
 
kulingana na habari, inaonekana hakuna nchi inayopiku Sudan. Labda zingine hazitangazwi, you never know
 
mkjj sijawahi kusikia habari za nchi hizo kama sudan, maana karangi, Saleh Mohammed Twaha na wengine wengi ktk viongozi wa juu walifariki kwa ajali za ndege seuze makabwela ni wengi tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom