WAMASAI WENYE ASiLI YA UNGUJA


Mwiba

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
7,614
Likes
226
Points
160
Mwiba

Mwiba

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
7,614 226 160
Imegundulika kuwa kuna wamasai wenye asili ya Unguja kama walivyo makabila mengine ,hayo yalionekana pale forodhani wakati mmasai mmoja alipopandisha shetani na kuanza kuzungumza kiarabu na kuwaacha hoi mashuhuda walioshuhudia tukio ,mmasai huyo alikuwa akidai kuwa nae ana haki kama waunguja wengine na hivyo alisema apatiwe sehemu ya ardhi katika eneo hilo ili auze vinyago na madawa ,walisikia waliofahamu kirabu wakitafasiri aliyokuwa akisema mmasai huyo. kwamba asipotimiziwa shariti hilo basi sehemu hiyo iliyozeleka kwa starehe za kuuza mishikaki na nyama za pweza haitakalika kwa salama.
Siku hizi wamasai ni wengi sana Unguja na wengine wameanza kuvaa mabuibui pia unaweza kuwaona wamasai wa kiume wakitembea huku wakipunga mikono na ukiwasalimia kwa halo haloo basi utawaona wanavyochapuka huku wakizidisha kupunga mkono ,wakionyesha manjonjo ya kutembea.
 

Forum statistics

Threads 1,238,240
Members 475,878
Posts 29,313,425