Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,943
- 698
Ndugu zangu JF, tumesoma mengi hapa na tukawa na mitazamo tofauti kuhusu kifo cha aliyekuwa Gavana wa BOT (Msadikiwa Marehemu) David Balali.
Kwa dodosa mie binafsi nimewasiliana na Investigative Reporters wawili kutoka vyombo vya habari vinavyoheshimika nchini Marekani ili watusaidie kutatua UTATA huo. Kila mwandishi anafanya kazi kivyake maana ni mashirika 2 tofauti na hakuna anayejua kuwa nimekutana au kuongea na mwandishi mwenzake. Kutakuwa na cost za hapa na pale lakini naamini kazi itaweza kufanyika.
Mmoja niliongea naye ana kwa ana na mwingine nilitumia email kisha akanipigia simu. Na wote wameniahidi kuliangalia suala hilo kwa ukaribu. Lakini mmoja alinimbia kuwa kuna mwenzake ambaye anafanya naye kazi kwa ukaribu kaenda Central Africa lakini hakutaja jina la nchi kufanya uchunguzi unaouhusiana na UN. Hivyo akasema akirudi wataanza kuliangalia hilo suala.
Kwa hiyo ndugu zangu kama Mungu akipenda UTATA huu utapata majibu, Nitakuwa nawapa UPDATES. Kaeni mkao wa mlo.