Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo asubuhi nilikuwa nikisikiliza BBC na nikavutiwa na habari moja inayohusu serikali ya Rwanda kuamua kuwafanyia tathmini watumishi wake wote ili kupima kiwango cha ufanisi wa utendaji wao...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
JINA CCM LIMETOKANA NA NINI Naomba kuchukuwa muda wenu kidogo kujadili kitu hichi kama kinawezekana , nimekuwa nawaza kuhusu jina la CCM yaani chama cha mapinduzi yaani hili jina lake lilitokana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mh. Rais kwanza nikupongeze kwa kufanya mabadiliko ya mwanasheria mkuu wa serikali, lakini pia naona imefika kipindi tunahitaji DPP mpya ambaye ataweza kufanya kazi kwa kufuata kanuni na taratibu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya kusoma ile ishu ya mmarekani chuo cha sanaa nimeona nipost hii inayohusu University of Dar es Salaam na sexual harassment ati wazipatazo wanadada: Sijui kama kuna ukweli au vipi, ila...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Ninasikitika sana kusema haya nitakayoandika hapa ndani lakini ndiyo hali halisi na inanikera sana na sina budi ku-share nanyi. Hivi kweli hadi hivi sasa bado Tanesco ina sifa za kuitwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Just because someone doesn't love you the way you want them to, doesn't me an they don't love you with all they have.. Ralph and Edna were both patients in a mental hospital. One day while...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
guardian.co.uk, Tuesday 20 October 2009 13.45 BST Article history Thousands of Anglicans could defect to the Roman Catholic church after the pope today approved a new global institution to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wapenzi;akika wengine labda atukujua nini maana ya urithi tukiwa wadogo..ila tunavyoona sasa hivi mmhhhh mzee wetu mmoja amefariki kama mwaka uliopita;aliacha mali nyingi tu na nzuri za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
BIASHARA YA OMBAOMBA INAVYOSHAMIRI Ukiwa ndani ya daladala la kutoka mwenge kwenda posta au kariakoo kuna jambo Fulani unaweza kuona unapofika kituo cha makumbusho na Victoria nalo ni vijana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna taarifa za sekunde kama 30 zilizopita kuwa jengo la NBC makao makuu almaarufu kama NBC Corporate linawaka moto. Mlio jirani na eneo hili tufahamisheni tafadhali
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nafikiri kuna tofauti kati ya kufufuka na kurudi msukule, Mara nyingi tunachanganya, Binti wa mwanza na yule wa moshi hawajafufuka ila wamerudi msukule, Aliyefufuka ni yule aliyekufa kweli...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=FlBWznfYU2Q
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huyu mama inaelekea hana utani mpaka akaweka tangazo kama hili kwenye gazeti!!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
JESHI la Polisi nchini limetangaza zawadi ya Sh milioni 5 kwa atakayewezesha kukamatwa kwa watuhumiwa waliohusika na mauaji ya raia wa China, Zhang Hongfa (23), ambaye alikuwa mhandisi wa kampuni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
In human body. Your/Our eyes remain on same size since your first day on Earth,but nose and ears keeps on growing as you/we grew up.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iranian Authorities Pressure Father of Convert Government trying to quell Christian son’s human rights activities. LOS ANGELES, (CDN) — In an attempt to silence a Christian human rights activist...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii nimeiona mara kibao nikiwa Bar sasa naona inajengeka hii tabia kume kuwa na tabia mbaya kwa kina dada wanao beba mikoba a.k.a kipima Joto pindi wamalizapo kilaji basi anaweka na bilauli kwenye...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Nimekuwa hapa Ughaibuni kwa muda sasa na nimepata bahati ya kukutana na watanzania wenzetu walio huku ughaibuni kwa muda mrefu. Nimejifunza jambo moja kutoka kwa hao woote. Watu hawaijui...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi sielewi hivi mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, mbunge na madiwani wanafanya nini au ni nini kimeshindikana hadi watoto wakae chini wakati sijaona Landcruiser za wakubwa hawa zimekosa mafuta...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Namtafuta best friend wangu JESCA NAIMAN MOIRO kutoka Baraa,Mashono ,Moivaro Arusha, Tulisoma naye Tabora Girls School ikiitwa WARSAW enzi hizo miaka ya 1982-1986. Alibahatika...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom