Ukitaka kujenga nyumba usimchukue fundi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kujenga nyumba usimchukue fundi...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Salehe Ndanda, Feb 24, 2010.

 1. S

  Salehe Ndanda Member

  #1
  Feb 24, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu gani?
  kwa sababu ukimchukua ndugu yako wa karibu ikitokea kaharibu jambo, utashindwa kumchukulia hatua za kisheria kwa sababu mjomba wako, utakachofanya ni kuingia hasara upya, kubomoa jengo au kutafuta fundi mwingine aweze kurekebisha makosa, wakati huo umekwisha pata hasara, lakini hatua za kisheria kama kumpeleka makamani hautaweza kwa sababu mjomba wako, alikadhalika na rafiki yako wa karibu, ukimchukua fundi lafiki yako wa karibu,ikitokea kaharibu jambo, hautaweza kumchukulia hatua za kisheria kwa sababu rafiki yako wa karibu umetoka naye mbali 'CHINI YA MUTI' watoto wake wanakwita baba, hautaweza kumshitaki, HAYO YAMETOKEA SANA, NA YANAENDELEA KUTOKEA. HUU MWAKA WA UCHAGUZI ANGARIENI SANA NYINYI MNAGOMBEA UONGOZI, MNAWEZA MKAPATA UONGOZI MSIJE MKARUDIA MAKOSA. NAYASEMA HAYA KWA SABABU SISI NI WAZURI SANA WA KUNYOOSHA KIDOLE, MIMI NIMEONA KWENYE MPILA 'NINGEKUWA MIMI NINGE FUNGA GOLI' HATA KWENYE DRAFT YAPO
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,916
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  sijaelewa bandiko lako lina lenga nini
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 14,794
  Likes Received: 1,431
  Trophy Points: 280
  We jamaaa wewe. hukufundishwa kutumia nukta? hata kama unaandika mavitu yasioeleweka.
   
 4. M

  Marigwe JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  ?????????????????????????????????????????????????????unasema????????????????
   
 5. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ha ha! Wala sijaelewa jamaa analenga nini. Draughts na football tu ndio nimeelewa
   
 6. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 930
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 45
  duh, kweli hapa hakuna nilichokielewa, bila bila.......
   
 7. k_u_l_i

  k_u_l_i Senior Member

  #7
  Feb 24, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Salehe - hiyo bangi unayovuta lete hapa au tupa chini.

  ┬ČK
   
 8. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,193
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mtu mzima kachemsha!
  Ayyaaaaa!
   
 9. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  You need to see your doctor, immediately!
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 41,987
  Likes Received: 37,272
  Trophy Points: 280
  Thithi kwetu hatuna ethi, wara hatuna ero
   
 11. Prisoner

  Prisoner Senior Member

  #11
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Wewe umevuta Bhangi nini? umeweka madudu gani wewe Salehe Ndanda hebu ondoa upesi hii post maana unawafanya watu wote JF ni wavuta bhangi
   
 12. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wewe mtoto wewe njoo haraka wenye maombi umeshaanza kupoteza memory usisubiri kuvua nguo.
   
 13. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 655
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Halafu mnaishia kulalamika eti kwa nini watoto wa kiislam wanafeli.

  Hebu angalieni huyu ni mwenzetu, anajua ku-log in, anajua ku-type lakini hajui profession ya kompyuta.

  Tanzania bila ... inawezekana!
   
 14. U

  Urenga One Member

  #14
  Feb 25, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahhh!!!!!!!!! wewe ume kuwa loose memory? neda Hospital haraka kwani JF watu wapo Inteligent sio hivyo au Unga huo maana pale kwa macheni hukosi sasa sijui tupige viboko kwanza au...........................
   
 15. b

  bi kilembwe Member

  #15
  Feb 25, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo mibangi mnayoivuta ni stimu za (kulanduka), kama sio fani yako kwa kwelil utaumbuka...
   
 16. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 8,113
  Likes Received: 2,411
  Trophy Points: 280
  Salehe Ndanda,
  Mbona mada yako haieleweki? Jaribu kuipanga vizuri ili wadau waweze kuielewa na kuchangia.
   
 17. U

  Urenga One Member

  #17
  Feb 25, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani huu mzuka asichangie mtakuwa na manyoya ya paka
   
 18. M

  Malila JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,478
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Huu ndio uhuru wa kuongea.
   
 19. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 17,552
  Likes Received: 5,119
  Trophy Points: 280
  Elimu ya chuo
   
 20. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  lakini kuna ukweli kwenye baadhi ya maneno yake!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...