Furahi day!

Furahi day!

Sasa hii ni kimpumu au ulanzi? Duh, hapo hatoki mtu mpaka mtungi uishe.

Thanks kwa picha.
 
Majamaa wanaiangali pombe kama vile wametegewa kitu vile.
 
Huyo wa kulia kabisa tayari chakari.na hajanunua raundi asiponagalia anaenda chini nakiti
 
Wengine hapa mmetuacha njia panda, nini maana ya hii picha?
 
we huoni kikao hicho? angalia makopo yao? angalia 'mirija'
 
Nghooo ni chobhoko wajameni

hiii ni way back hm teh teh
 
Hii kitu bado inafanyika kwa dizaini hii? Hivi naomba niulize, ukiwa ndo unafyonza na jamaa kichwa akawa anarudishia humo?
Good pic!
 
i1021_1533617653777987150970987126652347196556n.jpg


watani mpo?
mi wapili kutoka kulia ndio kanivutia... yani tayari yuko njwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii... na hapo anapiga hesabu ya kumalizia kukatia sokoni kale kambuzi kalikobaki...
 
Wengine hapa mmetuacha njia panda, nini maana ya hii picha?

We Kaitaba kwani hii ina tofauti gani na rubisi ya kwenu?
Labda unywaji tu unatofautiana...Lakini ni kinywaji moja ya Heshima sana...lol!
 
Hapo nyuma kuna maaskavenja yanasubiri mabaki au mtu aangushe gari.....bongo bwana
 
Back
Top Bottom