Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
Please don't shoot me for the sensational title, I just want to find out what you think of cats.
Personally i find them too wily to human conscious, that's why i somehow regard them as being evil. I know it feels unfair to refer them in such a way, but really why cats are too elusive compared to many other common animals... They seem to know exactly what you are about to do to them haswa kwenye kuji-defend... na hii kitu ndiyo huwa inanikasirisha badala ya kunifurahisha!!
---kwa huku ambako animal rights haziko kwenye vitabu au juu ya majarida, ukiinama tu kuchukua jiwe, paka huyooo kesha kitoa!
---ukimrusha juu ni lazima atue kwenye miguu yake!
---pahala pengi wanasema paka wanaroho saba, je ni kweli?!
---pakashume hawategeki kwa sumu, ananusa na kuondoka... wakati mbwa ambao ndiyo wanasemekana kuwa na strongest sense ya smelly kwa domestic animals, sad to say but wengi walisha uliwa kwa sumu .
Na mambo mengine kibao kibao tu ambayo paka wanaonekana kuhusishwa nayo....
Pls help me bust the myth out of these otherwise lovable creatures.
Are cats evil?!!