Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Poll Poll
Between these two influential countries, who is more democratic than the other? Any reasons please.... I personally think UK is more democratic than US, sababu mojawapo ni kwamba, wanasiasa wao...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
6.12 Unverifiable mineral productions aggregating to 473,051 Carats worth USD 56,934,749.09 equivalent to TShs.71,343,795,390. (Vote 58) Ministry of Energy and Minerals An audit inquiry at the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi yenye ubaguzi wa kidini. Kuna watu(viongozi), waandishi wa habari, hawapendi kuona nchi ya Kiislamu inaingia ushirikiano na Tanzania. Wakiona jina tu Iran, UAE, au Saudi Arabia...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Akijibu baadhi ya maswali ya wabunge juu ya kusimamishwa kufanya kazi kwa ndege za ATCL na lini zitaanza kazi, Ndemino, alisema taarifa alizonazo ndege hizo zitaanza kuruka tena kesho baada ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
lidaiwa wanafunzi hao walibeba mabango yaliyokuwa na ujumbe mbalimbali ambao ulikuwa umejielekeza kuleta hasira na kujenga chuki kwa watu wengine. Baadhi ya ujumbe uliokuwemo katika mabango...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
"Jambo hili sasa nalielewa zaidi kuliko wakati mwingine wowote; hili suala wala halihusiani na dini bali na siasa zaidi katika kufikia malengo fulani fulani. Naamini maneno ya hawa jamaa yamekuja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali naomba kupata e - mail adress pamoja na namba ya simu ya Mh. Zitto Kabwe.
0 Reactions
2 Replies
12K Views
Good News, If true. Regional News:Africa Business from U.S predicted to grow Tour operators report boom in Tanzania safari bookings Thursday, January 22, 2009 The year 2009 is ushering...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naam,,, Msafiri kafiri ama? Niko ndani ya daladala naelekea katika shuhuli zangu za miangaiko. Nigeuzapo macho kumtizama dereva wa daladala hili nistuka kidogo,,,, ni mtoto! Mtoto kabsaaaa,,, kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtoto wa miezi minne azungumza mazito Na Mashaka Mhando, Tanga MTOTO wa miezi minne aliyezaliwa kwenye hospitali teule wilayani Muheza, amekuwa gumzo na kustaajabisha wakazi wa mji...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Wajameni wandugu! Heshima mbele!! Mimi ni mpitaji wa hii barabara inayopita Lugalo kuelekea maeneo ya mbezi mpaka b.moyo. Karibu kila siku napita hapo nikielekea kwny kibarua changu. Cha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wazalendo, Happy New Year 2009! Katika Kijarida cha Habari za Ukimwi (April - June 2008) Takwimu zinaonyesha kuwa maambukizi ya Ukimwi kufuatia Kampeni ya Kitaifa ya Kupima Ukimwi kwa Hiari ni...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
ndugu zangu polen na pilika pilka za kufurahia uapishwaji wa RAIS mteule wa DUNIA B.H.OBAMA, kwa masikitiko makubwa hivi majuzi kuna majambazi yalivamia gari na kutaka kupora pale MANZESE,nadhan...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna tetesi kwamba yale maduka maarufu ya shoprite ymefungwa na waajiriwa wote kupoteza ajira pamoja na malipo mengine muhimu
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna bwana mmoja miraba minne pandikizi la mtu mwenye lafundi ya kaskazini anazunguka katika mabaa usiku na kutafuta watu wa kuwatapeli. Ukiwa na marafiki unapata kinywaji huyu bwana anakufuata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tumekuwa na awamu nne sasa za uongozi:Mchonga,Mwinyi,Mkapa na Kikwete.Mungu aibariki sana awamu ya Mchonga.Ilikuwa awamu yenye authority,Mchonga akisema kitu kisifanyike kweli hakifanyiki.Huo ndio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
St. Augustine once said that “Fasting cleanses the soul and Raises the mind”…If he were alive today he might be surprised to see the fast detached from its spiritual toots and transformed into...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna 'thread' moja ya Malila yenye kichwa cha habari 'Kwa nini tunaendekeza sana imani za kishirikina'. Kichwa hiki cha habari ni kizuri,na kina uzito na mantiki ya aina yake.Cha ajabu ni kwamba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale tunaofahamu Historia ya vyombo vya habari Tanzania kwa hakika mtu hawezi kubisha kuwa IPPMedia ni moja kati ya vyombo vya habari vya mwanzo na vilivyokuwa makini Tanzania kwa kuanzisha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakati kampuni ya Tigo ilivyobadilishwa Jina toka mobilel Nilikuwa na shauku moja nayo ni kuja kuona kwamba sasa kampuni hiyo inakuwa zaidi kwa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…