Kwanini Ubaguzi wa kidini Umezidi Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Ubaguzi wa kidini Umezidi Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Haki, Jan 22, 2009.

 1. H

  Haki JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni nchi yenye ubaguzi wa kidini. Kuna watu(viongozi), waandishi wa habari, hawapendi kuona nchi ya Kiislamu inaingia ushirikiano na Tanzania. Wakiona jina tu Iran, UAE, au Saudi Arabia au jumuia ya OIC wanaanza kuandika habari za negative haraka haraka kwenye blogu or newspaper. Lakini kama kuna habari za Vatican, Papa Paul, au Western countries hawasemi kitu, ila wanashabikia tu. Kubaguana kidini hakufai, mambo ya uadui wa kidini hayataisadia TZ.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mods peleka hii kwenye ukumbi wa 'Pumba na Vichekesho'
   
 3. K

  Kicheche Member

  #3
  Jan 22, 2009
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kweli jina hilo linkufaa,hukokose kujiita jina hilo,na unanifanya niamini kuwa ndivyo ulivyo
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160

  Waulize wenzio wenye upeo finyu watakufahamisha kwa urefuu kuhusu kutokudandia gari kwa mbele..

  Sawasawa?
   
 5. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2009
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,212
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Tanzania ni rafiki wa karibu sana wa Algeria. Hujasikia mtu akilalamikia hilo. Tuko karibu na Misri vile vile, na hakuna malalamiko.

  Hatuna matatizo kuwa karibu na nchi za Kiislamu. Tuna tatizo na nchi zinazokandamiza raia wake kwa kuweka sheria ya kuua wale wanaoamua kubadili dini toka Uislamu kuingia Ukristo. Iran na Saud Arabia zina sheria kama hizo.

  Ingetokea nchi ya Kikristu ikaweka sheria ya kuua raia wanaobadili Ukristu na kuingia Uislamu, tungeikataa vile vile. We are men and women of principle.
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2009
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  TATIZO HATA WEWE UMEONYESHA UBAGUZI DHIDI ya dini mojawapo..!
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Waislam! Kaaaazi kweli kweli, OIC wao, IRAN wao, GAZA wao, HAMAS wao, KADHI wao, DINI wao, RAIS dini yao, MAKAMU WAKE dini yao, CUF yakwao, PEMBA yakwao, UNGUJA yakwao, KUANDAMANA wao, KULALAMIKA wao. WHAT DO THESE PEOPLE WANTS? KUNYONYA DAMU YA WAKRISTO? WHAT IS IT IN ISLAM?

  Kama kuna watu mabingwa wa kulalamika nakugoma, basi hawa Muhammadans ni nambari wani.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mtumishi Max,

  Kuna kitu kinawasumbua hawa ndg zetu, si bure. We subiri tu hapahapa kwenye hii thread 'mjinga' ujionee VIOJA..

  Be blessed..
   
 9. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2009
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
   
 10. B

  Bull JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2009
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Kama Saudia wanasheria kama hizo kwanini America wanaushirikiano nayo mzuri ? nadhani tatizo ni udini

  Russia, China kote huko hakuna freedom ya ku-worship nabado hatujali kua na uhusiano nao, mwandishi wasiwasi wake nipale linapotokea jina islam
   
 11. K

  Kakulwa Senior Member

  #11
  Jan 23, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tanzania hakuna udini tatizo nyinyi waislam mmezidi kulialia kila siku na kuona mnaonewa wakati matatizo ni yenu wenyewe wala hayasababishwi na mkristo au mpagani.Leo hii Rais ni wa dini yenu,Makamo wake ni wenu pia na wakati wanaingia madarakani wizara nyeti zote mlizishika nyinyi kitu ambacho hakijawahi kutokea tangia nchi ipate uhuru lakini bado mkawa wa kulia tu.Sasa ushauri wa bure tu muache madrasa muende shule na nyinyi mkasome ili muwe sawa na wagalatia kama mnavyowaita.sawasawa?
   
Loading...