Quote yangu ya Wiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Quote yangu ya Wiki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Omutwale, Jan 22, 2009.

 1. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2009
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  "Jambo hili sasa nalielewa zaidi kuliko wakati mwingine wowote; hili suala wala halihusiani na dini bali na siasa zaidi katika kufikia malengo fulani fulani. Naamini maneno ya hawa jamaa yamekuja katika jitihada za kukifanya CCM kuwasikiliza. Endapo serikali ya CCM ikisema kuwa hakuna OIC wala Mahakama ya Kadha timu ya watu hawa hawa watageuka na kusema CCM ni chama kisichajli maslahi ya "Waislamu" kana kwamba ndani ya CCM wamejaa wakristu watupu!"


  Mwanakijiji
   
Loading...