Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na hii `meter tuliyofungiwa kwenye ID zetu ni nini tena nyie mods? ( angalia kwenye ID au Avatar yako, hii yenye rangi ya kijani na njano) Au ni Speed Governer ya aina fulani? ` Embu tujuzeni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
The online entry registration period for the DV-2011 Diversity Visa lottery is between noon, Eastern Daylight Time (EDT) (GMT-4), Friday, October 2, 2009, and noon, Eastern Standard Time (EST)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu,watz tumekuwa tukifurahia sana mabadiliko ya sayansi na teknolojia ikiwemo mabadiliko ya bidhaa mbalimbali bila kujua athari zake.Nasikia bidhaa nyingi zinazoletwa hapa kwetu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Semina hiyo inashirikisha wajumbe toka wilaya za LUSHOTO,HAI,HANDENI,SIMANJIRO NA MANISPAA YA ARUSHA.Jumla ya wajumbe ni zaidi ya 120,ambao watalipwa Tsh 65000 kwa siku kwa siku 14. Kama mjumbe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CUF demonstration is currently under way, from Buguruni to Mnazi Mmoja and to the registrar's office.... wenye updates tuhabarishine
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu nimekutana na hii: http://www.youtube.com/watch?v=yAkDHuimJRc Wadau mnaonaje? Ubaguzi tunaumalizaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania is to close down the Mbezi transit checkpoint by end of September as it is unable to adequately serve trucks destined for hinterland states. According to the Tanzania Revenue Authority...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hawa ndio waanzilishi wa DICOTA (Diaspora Council of Tanzanians in America)
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimepata email, kwenye official email yangu ambayo ni highly secured na sijui jamaa wameipata vipi, ila imeingia kama "SCAM". Ninachotaka kufanya ni kushare na watu na kuwatahadharisha kuwa japo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni baada ya wenzaoo wawili kugongwa na kufa.
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Raisi Jk hivi karibuni amezindua Ubalozi wa Tanzania huko Marekani ambao umeigharimu serikali yetu 13.5 Bilioni ikiwemo Milioni 477 za kulitunza kwa mwaka. Nchi yetu kwa sasa imekumbwa na janga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haki za wafanyakazi siku hizi hazipo kabisa.Nakumbuka nilipoanza kazi nilisaini mkatataba na serikali ambao hata hivyo ulivunjwa bila mimi mwenyewe kushirikishwa.Leo mfanyakazi hana haki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama kitaifa yanaanza leo huko mkoani mbeya. Dar es salaam tumeianza wiki hiyo kwa foleni ndefu sana bararani, hasa sisi watumiaji wa njia ya ali hassan mwinyi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leading for Change 2009 Community Summit, this Saturday, 9/ 26, 11AM-1PM, at the Center of Families, 3333N-4st, Mpls 55412 Twin Cities Lost One of the Greatest Journalist:Swallehe Msuya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Thousands of women could be putting their lives at risk by ignoring invitations for breast cancer screening, a charity has warned. NHS figures for...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The first African woman to receive the Nobel peace prize, Nobel laureate Wangari Maathai, is an international leader who draws her strength from the grass root level. “I travel around...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
USIPOZIBA ufa utajenga ukuta; ngoja ngoja yaumiza matumbo; mdharau mwiba mguu huota tende, ni baadhi tu ya methali zinazoeleza busara walizotuachia wahenga katika kukabili mazingira tunamoishi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Biashara ya utumwa ilifanyika miongo kadhaa iliyopita (inasemekana bado inafanyika baadhi ya maeneo duniani) na kusababisha watu weusi kuenea maeneo mbalimbali duniani mfano visiwa vya Carrebean...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
TOKYO, Japan, September 29, 2009 1. The Government of Japan has decided to extend grant aid (the Project for HIV/AIDS Control) of up to 171 million JPY to the United Republic of Tanzania. Notes...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Unique Origins of 25 Popular Products Print This Post Email This Post Tweet This...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom