Tanzania na Ubalozi wa 13.5 Bilioni

Kevo

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,333
52
Raisi Jk hivi karibuni amezindua Ubalozi wa Tanzania huko Marekani ambao umeigharimu serikali yetu 13.5 Bilioni ikiwemo Milioni 477 za kulitunza kwa mwaka.
Nchi yetu kwa sasa imekumbwa na janga kubwa la njaa na matatizo mengine makubwa to mention but a few.
Membe anajigamba jengo hilo ndilo kubwa kuliko majengo yote ya Balozi za Tanzania duniani.
Tatizo langu hasa ni kwamba,tulikuwa tunahaja sana na jengo hili kwa kipindi hiki kigumu katika nchi yetu??
Hapo ofisi zilipokuwa mara ya kwanza zilikuwa hazikizi mahitaji?
Serikali yetu haina priorities kabisa.
 
Back
Top Bottom