Goverment to Shut Down Mbezi Checkpoint

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
eastafrican180.jpg


Tanzania is to close down the Mbezi transit checkpoint by end of September as it is unable to adequately serve trucks destined for hinterland states.

According to the Tanzania Revenue Authority, the move will significantly reduce days spent by transit goods in Tanzania on their way to Malawi, Zambia, Uganda, Rwanda, Burundi and the Democratic Republic of Congo among others.

"This will address congestion of trucks at Mbezi, which does not have adequate facilities for conducting customs checks and therefore constraining the flow of local, transit and passenger transportation," Commissioner of Customs and Excise Walid Juma said.

Under the new arrangement imports destined for the landlocked countries will undergo their first inland check up at Chalinze after they are cleared at Dar.

Transportation of transit goods is guided by international laws such as the Convention of Freedom of Transit of 1921, the Convention on Transit Trade of Land-Locked States of 1965, and the International Convention on the Simplification and Harmonization of Customs Procedures which was signed in Kyoto, Japan in 1973.

Others are the Repression of Customs Offences which was reached in Nairobi, Kenya in 1977, the Convention on International Multimodal Transport of Goods (Geneva 1900), the Treaty for the Establishment of the Preferential Trade Area for Eastern and Southern Africa (PTA) (Lusaka 1981) and the Convention on the Law of the Sea (Montego Bay 1982).

The conventions require coastal states like Tanzania to speed up delivery, ensure safety and dignity of the cargo bound to hinterland destinations.

They give landlocked countries rights to use sea ports as the gateways to pass their imports/exports.

Separate transport agreements between port users (the landlocked country) and the port owners (the coastal state) are encouraged however to reinforce the conventions.

For example in 1987 Tanzania and Malawi had forged a deal for the latter to use the Dar Transport Corridor known as the "Agreement concerning the Malawi-Tanzania corridor transport system" signed in Lilongwe.

As a facilitator of transit goods, Tanzania makes minimum intervention on the goods.

The landlocked countries select the clearing agents of their choice who are accorded concession with regard to the requirement of the bond security in simplifying the movement of such goods.

These include the Malawi cargo centre for Malawis, the Isaka dry port for Rwanda, the DRC and Burundi and the Makuba dry port for Zambia.

The Dar es Salaam Transport Corridor is made up of highways and railways from the port of Dar es Salaam through Mbeya to the Tanzania and Zambia border posts of Tunduma and Nakonde, the road to Malawi through Kasumulu and Songwe border posts, and the road to Rwanda and Burundi through Rusumo border post.

Tanzania handles transit goods such as machinery, spare parts, food, electronic equipment, motor vehicles, cobalt, copper, golden ore and armoury among others.
 
Tena wafanye haraka.....tunapata usumbufu mkubwa sana pale kutokana na msongomano wa malori...........!
 
Tena wafanye haraka.....tunapata usumbufu mkubwa sana pale kutokana na msongomano wa malori...........!
Kuna jamaa alinambia palikuwa kero sana na ilikuwa chanzo cha foleni zisizo za lazima.

Maamuzi ya serikali wakati mwingine huwa yananitatiza sana... Ni sawa na maamuzi ya kuweka matuta badala ya kurekebisha miundombinu ya barabara! Sijui nani huwa wanatoa mawazo haya?!
 
Kuna jamaa alinambia palikuwa kero sana na ilikuwa chanzo cha foleni zisizo za lazima.

Maamuzi ya serikali wakati mwingine huwa yananitatiza sana... Ni sawa na maamuzi ya kuweka matuta badala ya kurekebisha miundombinu ya barabara! Sijui nani huwa wanatoa mawazo haya?!

Kwa mtu ambaye huwa hapiti pale mara nyingi anaweza asielewe au anaweza asipate picha ya tunachokizungumza hapa, lakini ukweli pale mahali panakera sana kwa watumiaji wa barabara ile.......!

Tatizo hawakuandaa sehemu ya kuya-park yale malori kabla hayajaingia kukaguliwa, so huwa yanajipanga kuanzia Mbezi Mwisho (kituo cha daladala) mpaka pale wanapokagulia....so watumiaji wengine mnatakiwa kutumia robo tatu ya barabara tu kwa magari yanayokwenda na kurudi bila kuacha reserve ya waenda kwa miguu...hivyo kusababisha foleni kubwa na ajali kwa waenda kwa miguu......!
 
Kuna jamaa alinambia palikuwa kero sana na ilikuwa chanzo cha foleni zisizo za lazima.

Maamuzi ya serikali wakati mwingine huwa yananitatiza sana... Ni sawa na maamuzi ya kuweka matuta badala ya kurekebisha miundombinu ya barabara! Sijui nani huwa wanatoa mawazo haya?!

Palikuwa na kero sana.
na hata pale kibaha bado ni kero sana hasa jioni. njia moja wapo ya kupunguza kero ingekuwa kuweka njia nyingine pembeni toka umbali wa kutosha (angalau mita 500) ambayo ni malori tu.

Miundo mbinu VS usumbufu nafikiri kama ingewezekana kuwe na taskforce ya wataalam (tanroads), traffic police, na wizara kuangalia namna ya kupunguza usumbufu usio wa lazima kwa wananchi katika maeneo mengi.
 
Kuna jamaa alinambia palikuwa kero sana na ilikuwa chanzo cha foleni zisizo za lazima.

Maamuzi ya serikali wakati mwingine huwa yananitatiza sana... Ni sawa na maamuzi ya kuweka matuta badala ya kurekebisha miundombinu ya barabara! Sijui nani huwa wanatoa mawazo haya?!

...wakishahiba kodi wanazotuibia ndo wanakuja na fanatic rescue plans ambazo ni hovyo hovyo...
 
Yeah wamesha funga pale nilipita na kuona papo wazi lakini ishu ya foleni kwenda Mbezi-Kibaha ipo pale pale hakuna kilicho pungua
 
Kitu gani kinawazuia kujenga station nzuri ya kupimia hayo magari pembeni ya barabara kuu? Yani wafungue kiwanja na kujenga vizuri. Kuna watu wenye mawazo mgando sana katika serikali yetu. Hii italeta hata biashara kwa wamachinga, nk. Inakuwa kama bus stand, sema ya malori.
 
serikali ya CCM mambo yao mengi hayapangwi ni zima moto tu, kwa nini wasitafute eneo sehemu nzuri na tambalale mbele ya kibaha na kujenga sehemu kubwa ili malori yakifika yana park ndani ya eneo hilo na siyo barabarani?

Nadhani kawambwa anapwaya sana pale miundo mbinu.
 
Back
Top Bottom