Waanzilishi wa DICOTA

Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,132
1,346
08meeting02.jpg


08meeting03.jpg


Hawa ndio waanzilishi wa DICOTA (Diaspora Council of Tanzanians in America)
 
1;nilikuwa sijui kama dk salimu aliwahi kuwa waziri mkuu,nilikuwa nadhani aliishia kuwa naibu waziri mkuu kama mrema.
2;mkuu koba kuna uhusiano gani wa dicota na salim au thread hii yote?kama mdau che kalizozele alivyouliza sioni uhusiano wowote,tufahamishe mkuu
 
Sijapata DICOTA maana yake nini na kwanini umeweka katika habari hii maana sijapata picha kabisa
 
ueleweshwe nini?...angalia picha na sio kila kitu kina uhusiano!

Hakuna sababu ya kuwa na jazba mkurugenzi,kwani ukituelewesha mahusiano kati ya picha uliyotundika hapo na mada iliyopo utapa hasara gani.Na kama utaweka taarifa utakayokuwa unaielewa mwenyewe au wanaielewa wachache utafaidika nini zaidi ya kuwa umepata hasara maana ujumbe uliokuwa umekusudia utakuwa haujafika.Any way sina cha kupoteza,sikuijua hiyo "dicota sijui" before na sidhani kama nitapata hasara yoyote kwa kuendelea kutokuijua.
STAY BLESSED.
 
Back
Top Bottom