Wiki ya nenda kwa Usalama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wiki ya nenda kwa Usalama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Sep 29, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama kitaifa yanaanza leo huko mkoani mbeya.
  Dar es salaam tumeianza wiki hiyo kwa foleni ndefu sana bararani, hasa sisi watumiaji wa njia ya ali hassan mwinyi.
  Kwa mtizamo wangu nlidhani kuwa wiki hii ndio ingekuwa haina foleni kwani ndio ingekuwa wiki muafaka kwa askari wa usalama barabarani kuonyesha mbinu ambazo wamekuwa wakizitafiti ili kupunguza kero ya msongamano dar es salaam (nsiongee sana, huenda hawana hata mpango wa kutafiti namhna ya kuzipunguza hiziz foleni)
   
 2. Mairo

  Mairo Member

  #2
  Sep 29, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni jamani!kwa foleni natumai wazee wa feva watajitahidi kuwa imara katika kusimamia foleni japo iende fasta fasta. Nipo morogoro hapa shamrashamra za wiki ya nenda kwa usalama hapa sio kubwa sana japo hawa wazee wa feva wamejitahidi kutanda barabara zile muhimu muhimu na pia ukaguza mdogomdogo! sasa siju kama ndo watafuata maadili au itakuwa kama kawaida.
   
 3. C

  Chereko Member

  #3
  Sep 29, 2009
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Hawajui kuwa wakikamata madereva waovu yaani wanaotanua, waliolewa, wasio na leseni, daladala zinazosimama pasipo vituo polisi ingetengeneza pesa kibao za faini za papo kwa papo.........na amani barabarani ingekuwepo
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka hiyo ndio inakuwa Wiki ya ulaji kwa Trafiki huko Tanzania. Hiyo si ndio ile wiki ya kuuza sticker za wiki ya nenda kwa usalama.
   
 5. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Nasikia stika moja 5,000/= lazima watakuwa bize kwenye huo ujasiria mali teh! teh! tehhh!!
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  wiki yaENDA kwa usalama ndizo ripoti zitakavyoandika.

  Ila amin amin nakuambieni kwamba bila teknolojia na kuboresha barabara zetu hakuna jipya ktk kupunguza msongamano wa magari ktk jiji.

  Kingine mkitaka kuona msongamano unapungua ni kuwashinikiza wateule wetu wahamie dodoma kwani wanatuwekea kiwingu hapa mjini tushawachoka na tambo zao na foleni ndefu za kumsubiri mtu mmoja apite na vimwelumwelu huku tunaomlipia kodi tunateseka
   
Loading...