Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

</SPAN> Ana Matias ambaye aliuliwa na baba yake baada ya kupata mimba yake Tuesday, October 13, 2009 1:41 AM Baba mmoja wa nchini Marekani amepandishwa kizimbani baada ya kumuua binti yake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JAMII YA WACHEZA KAMALI NA MAZINGAOMBWE Wiki chache nilipokuwa arusha kuna jambo moja niliona ni zuri kuona watu haswa vijana wanatumia sana computer katika masuala mbali mbali ya mtandao hata...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
UVCCM acheni kuhadaa Watanzania MWANAFALSAFA wa Kigiriki Socrates alishawahi kusema kuwa ukimpa somo mtu yeyote, kitu hiki ni sumu, na hiki ni chakula, halafu ukampa nafasi ya kuchagua kitu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Swine flu claims first victim in Tanzania By ZEPHANIA UBWANI, NATION CorrespondentPosted Sunday, October 11 2009 at 22:30 ARUSHA, Sunday Swine flu, first reported in Tanzania hardly three...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Last updated at 8:54 AM on 11th October 2009 Race row: The BNP pair told Radio 1 that Ashley Cole, pictured with wife Cheryl, is not British The BBC is facing demands for an investigation...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kung'ara kwa Kikwete kunategemea usafi alionao HARAKATI na pilika pilika za wananchi wenye moto wa kisiasa, hivi sasa zinaendelea kushamiri nchi nzima huku wakijipanga vizuri ili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A 26-year old guy decided to have a cup of coffee. He took a cup of water and put it in the microwave to heat it up (something that he had done numerous times before). I am not sure how long he...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali yafanya kufuru Sunday, 11 October 2009 15:04 *Yanunua mashangingi 80 kwa 15/-bilioni *Ni baada ya Pinda kutaka ibane matumizi Na Edmund Mihale WAKATI Waziri Mkuu Bw. Mizengo Pinda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shirika la ndege la India, Air India linachunguza tuhuma za marubani wake wawili na mfanyakazi mwanamke wa ndani ya ndege kurushiana makonde mbele ya abiria ambao walibaki wameduwaa hawaamini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekaa nikawaza kwamba kwa wale wahandisi tuliomaliza UDSM na wengine watakao penda kujiunga/kushiriki tujipange tuanzishe walau ka kampuni kadogo ka ufundi ili tuweze kukopa pesa benki na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo nimefungua ukurasa wa JF na kama kawaida yangu nikataka kutafuta posts mpya. Kwa bahati mbaya sikuiona button ya New Posts. Je mods mmeiondoa kwa makusudi au imepotea tu? Kama iliondolewa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wasalaam ndugu zangu wote huku JF, - Nimekuwa nikipata sana ujumbe wa private wakuniulizia nilipo, ninasema hivi nipo isipokuwa majukumu ya maisha yamenizidi mno, nafasi yangu imekuwa ndogo sana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Norway Nchi Bora Kuishi duniani, Tanzania ya 164...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mods rudisheni search option, binafsi huwa kanasadia kuona post latest bila kupitia majukwaa nisiyoyapenda kama la siasa. Jamani ninaomba iwe enabled Rev Masa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF ip address hiyo hapo juu kila mara inajaribu kuingia kwemye computer yangu naombeni msaada wa nini cha kufanya.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waungwana nadhani mwenye macho haambiwe tazama. Kwa muda mrefu CCM kimekuwa mstari wa mbele ktk kuhakikisha umoja na mshikamano wa Kitaifa.Kikiongozwa na KINARA WAO JK ,hakiogopi kumwaga damu kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nafahamu kwamba kuingia kwenye forum ya udini ni hiyari, na sina matatizo na hilo; Kero yangu ni jinsi tulivyovamia mambo ya udini na kusahau maendeleo na mahitaji yetu kama watanzania...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Zanzibar Historical Events 1900-2000 1901 January Tea: the first packet of tea made in East Africa was packed in Dunga. The leaves were the first products of the garden that was laid out there...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
...hii kila janga linaloikumba jamii kusingizia ni kazi yua mungu maana yake nini? Serikali imefikia kikomo cha kufikiri? Hivi haki za mwananchi mfano upatikanaji wa Umeme, barabara nzuri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni kama dakika tatu hivi zimepita,kuna ajali mbaya sana imetokea maeneo ya kimara-suka.nimeona ni minibus au hiace inayotokea kibamba kuja katikati ya jiji imevaana na lori. Kwa haraka haraka...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Back
Top Bottom