Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,473 Reaction score 757 Sep 30, 2009 #1 CUF demonstration is currently under way, from Buguruni to Mnazi Mmoja and to the registrar's office.... wenye updates tuhabarishine
CUF demonstration is currently under way, from Buguruni to Mnazi Mmoja and to the registrar's office.... wenye updates tuhabarishine
H HM Hafif JF-Expert Member Joined Aug 16, 2009 Posts 1,359 Reaction score 20 Sep 30, 2009 #2 maandamano yalifanyika na yalipokelewa viwanja vya kidongo chekundu. Risala ilisomwa na Mh Juma Duni na Prof pia aliunguruma.
maandamano yalifanyika na yalipokelewa viwanja vya kidongo chekundu. Risala ilisomwa na Mh Juma Duni na Prof pia aliunguruma.
P Patrick Nyemela JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 332 Reaction score 28 Sep 30, 2009 #3 Je tutarajie mabadiliko yoyote ya maana baada ya maandamano haya?
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,666 Sep 30, 2009 #4 Hivi hili la kuandamana hamuoni haliiwasaidiii???? Cuf bora wakae waanzishe gazeti lao au radio au tv, vitawasaidia...
Hivi hili la kuandamana hamuoni haliiwasaidiii???? Cuf bora wakae waanzishe gazeti lao au radio au tv, vitawasaidia...
O Omumura JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 476 Reaction score 18 Sep 30, 2009 #5 Wadanganyika bwana,watu wazima wenye familia zao wanaacha kufanya kazi za kujiongezea kipato wanaenda kuandamana na kumsikilza juma duni.
Wadanganyika bwana,watu wazima wenye familia zao wanaacha kufanya kazi za kujiongezea kipato wanaenda kuandamana na kumsikilza juma duni.