Hii ni Luku gani tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni Luku gani tena?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Aug 7, 2009.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Na hii `meter tuliyofungiwa kwenye ID zetu ni nini tena nyie mods?
  ( angalia kwenye ID au Avatar yako, hii yenye rangi ya kijani na njano)

  Au ni Speed Governer ya aina fulani?
  `
  Embu tujuzeni tafsiri yake, usikute kama `mita yako inasoma full-reading ndo unakuwa warned uache kupost!
   
 2. D

  Dawson Member

  #2
  Aug 7, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii nafikiri inapima ukweli wa mada uliyotoa ka unauakika nayo or!!
   
 3. Wa mmoja

  Wa mmoja Member

  #3
  Aug 7, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi mwenyewe hiyo kitu imenishtua kimtindo...
  nimejiuliza bila kupata jibu...!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  dU...THIS IS TOO MUCH FOR ONE PEOPLE!
  Dawson...utaanza kuwatisha baadhi ya members humu ndani!!... kwii kwii!!

  This is a serious business guys, embu nambieni kidudu hicho kinasoma nini!
   
 5. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Robot / Painkiller et al!

  Hili swali halikuwahi kupata maelezo ya ziada wakulu.......!
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hii nadhani ni quota meter. Once the green is full you can not post unless you pay!

  Mawazo yangu tu.
   
 7. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  unakuongeza cheo, ikijaa unapanda maana hapa si kuna vyeo tofauti kulingana na na kupost au kuwa member muda mrefu. mawazo yangu tu
   
 8. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ni activity meter, kama inakaribia kujaaa, ukikaa siku mbili tatu hujaja JF, au kupost then inashuka.
   
 9. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  duh!
   
 10. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hata mii nilikuwa sijui hilo.

  Ahsantum muuliza swali
   
 11. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #11
  Oct 1, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mbona nyingine ndefu nyingine fupi!!!!!! He! yaaaani kama nanihii. Dwih!
   
Loading...