Semina ya Maafisa Maendeleo ya Jamii - Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Semina ya Maafisa Maendeleo ya Jamii - Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shaycas, Sep 17, 2009.

 1. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Semina hiyo inashirikisha wajumbe toka wilaya za LUSHOTO,HAI,HANDENI,SIMANJIRO NA MANISPAA YA ARUSHA.Jumla ya wajumbe ni zaidi ya 120,ambao watalipwa Tsh 65000 kwa siku kwa siku 14.
  Kama mjumbe ameenda na mtoto mchanga,nae hulipwa 32500(mtoto) kwa siku.
  Moja ya agenda/somo ni MPANGO WA UWEZESHAJI HAKI JAMII.
   
 2. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kumbe kidogo namna hiyo? Nilifikiri ni kama posho zile za waheshimiwa?
   
 3. mujydebubyz

  mujydebubyz Member

  #3
  Sep 30, 2009
  Joined: Feb 13, 2007
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mmhn!
   
 4. Miwani

  Miwani Senior Member

  #4
  Sep 30, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 182
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hizo pesa zingeweza kununua majembe ya kukokotwa na ng'ombe kiasi kadhaa
   
 5. O

  Omumura JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakimaliza hiyo semina,ipo tija yoyote itakayopatikana kweli?anyway ndo kula yao hiyo!
   
 6. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mmmh!
  hizi semina si zilikatazwa na mtoto wa mkulima sasa hawa hawamuogopi ?
   
Loading...