Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wapangaji nyumba Dar kwa kuhama hama. Wakuu heshima kwa wingi kwenu. Jamani naomba mtazame mfano wa jamaa huyu kwa jina la mpangaji nyumba Dar es Salaam ambaye anawakilisha wengi wa wapangaji...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
WAKUU WANA JF JINA LA BWANA YESU KRISTO LITUKUZWE Yoh 3:16 inasomeka hivi ' kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwana wake wa pekee ili kila amwaminie asipotee, bali awe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii picha hapa chini nimetumiwa na mdau mmoja wa kule Kigamboni. Inasemekana hawa vijana ni wezi wa hicho walicho kibeba.... sasa swali langu hapa Je kuwatembeza utupu hawa vijana ni haki?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Siku ya Jumatano,kwa kawaida ilikuwa siku ya mapumziko. Kama kulikuwa hakuna kazi muhimu ya kufanya,Yesu aliwaagiza wafuasi wake kupumzika. Kwa hiyo Jumatano hii Yesu akasema kwamba atakwenda peke...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
CHUKI PARTY Habari gani wapendwa. Nimepata wazo moja hivi ambalo ningependa kuwashirikisha, mara nyingi tumekuwa tukifanya party za kukusanyika marafiki, fans na watu wengine wa karibu...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mfugaji wa jamii ya Kimasai, Mariam Kibuda (45), mkazi wa kijiji cha Membo Maguha, Kata ya Gairo wilaya ya Berega mkoani Morogoro, amekufa papo hapo baada ya "mgolole" wake kuingia kwenye mnyororo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WADAU TUMSAIDIE MTOTO TUNTUFYE.. Mtoto Tumtufye Mwakasaka (8) ambaye kwa sasa amekatisha shule na kuja Iringa mjini kutafuta wasamaria wema kwa ajili ya kunusuru maisha yake baada ya mwili wake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
A 21-year-old man plunged to his death in an apparent suicide jump off the Empire State Building during the evening rush hour on Tuesday, authorities said. The man was dead when rescue workers...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
My sweet heart alipewa kadi ya kwenda kwenye kibao kata, kibao kata kinafanyika leo kule ilala. Mimi ndiye niliyeipokea hiyo kadi siku ya jumatatu. Kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo ya kike nikajua...
0 Reactions
18 Replies
13K Views
waziri wa fedha aliutangazi umma akuna haja ya kuendelea na 'ukaguzi wa nyumba ya gavana maana gavana amejibu kila kitu kwenye tume ya wabunge alioitwa kuulizwa EMBU TUELEZE WAZIRI MKULO NA HUU...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Lori moja kubwa likiwa na kontena ndefu likiwa linaelekea njia ya tanki bovu kushuka barabara ya mboma limekata waya za umeme 4 ,tunaomba wenye uwezo wa kuwasiliana wawajulishe kabla ya maafa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapambe msitujadili mapenzi yetu hayawahusu,ya kwako yamekushinda ya wenzako utayaweza,achen kudiscus mapenzi ya wenzenu,kujitongozesha kwa nguvupenzi ni bonge la issue kwetu cici wapendanao...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
wajukuu zangu babu yenu naenda LAMU kupumzika pasaka hii...mwenye kutaka zawadi ani PM nimleteee
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Flier ya Traffic light FEKI Hivi kweli unasubiri mtanzania mwenzio aanzishe kitu then wewe unataka tu kutengeneza pesa kwa kutumia idea zao? Huyo ni uizi wa kiaina na vile vile unaweza kuwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama Desturi Yake Nigeria Man Ni Lazima Afanye Unaigeria Wake. The innocent Kenyan girl was left to pay for the scandal "She was a good care worker, always punctual and honest in her duty"...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani tumwombe sana mungu atusamehe.......kama kweli sisi wote tumeumbwa kwa mfano wake, na kwamba wote tu watu wake!! Basi..... Ni wachache watakaouona ufalme wa mbinguni........!! Je wewe uko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hercules: The World's Biggest Dog Ever According to Guinness World Records Hercules was recently awarded the honorable distinction of Worlds Biggest Dog by Guinness World Records. Hercules is an...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Najua watu wengi watanishangaa kwa kuuliza swali hili: ASKOFU MKUU NOVATUS RUGAMBWA NI RAIA WA NCHI GANI? Ninajua kabisa kuwa kwa kuzaliwa ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa lakini ninaamini...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za saa hizi wakulu,,hapa kuna jambo ambalo nimeona bora niliweke ili liweze julikana na kupatiwa ufumbuzi kama kuna uwezekano,Diwani wa kata ya Hananasif Mh.Abbas Tarimba(former president...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naja kwenu wadau wa jamvi hili la JF. Kutokanana hali ilivyo nchini kwetu(TZ).Majanga mbali mbali yanatukumba ilihali wakuu wa nchi hawayachukulii hatua madhubuti za kuyatatua kama siyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…