Attention tanesco;lori no t663 apn limekata waya 4 za umeme ;msaada tafadhali

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
21,994
Lori moja kubwa likiwa na kontena ndefu likiwa linaelekea njia ya tanki bovu kushuka barabara ya mboma limekata waya za umeme 4 ,tunaomba wenye uwezo wa kuwasiliana wawajulishe kabla ya maafa zaidi.....limekata waya hizo muda si mrefu usiku huu

hapa kwenye kona ya top garage......

Wenye kuweza kuwasiliana/kuwajulisha tanesco tutashukuru zaidi

bwana awe nawe!!!!
 
Jamani mi nashindwa kuelewa kabisa////hii bara bara imeanza kuwekwa lami juzi ndugu zanguni usiku wa saa tano/sita watu waanapitisha mizigo yao kwa malori..na kontena kwa nini uaribu barabara jamani..hata kusubiri zikauke...huna huruma kabisa ........

Shame mwenye lori!!!!
 
Na kwa nini usiiikuuuu tuuu kunanii wanaficha jamani???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom