Staili inayokubalika pasaka hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Staili inayokubalika pasaka hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ninja, Mar 31, 2010.

 1. Ninja

  Ninja JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 80
  WAKUU WANA JF JINA LA BWANA YESU KRISTO LITUKUZWE

  Yoh 3:16 inasomeka hivi ' kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwana wake wa pekee ili kila amwaminie asipotee, bali awe na uzima wa milele.'

  Ni vizuri pasaka hii tukaisheherekea kwa kukumbuka kwamba Mungu kwa kutupenda, alimtoa mwana wake pekee kwa ajili ya dhambi zetu yaani Yesu Kristo(Math 1:21).

  Unaposhawishiwa na shetani kufanya maasi wakati huu wa pasaka, kumbukumbu hii ya upendo wa Mungu kwetu na ikuzuie wewe ili usimwasi Mungu.

  PASAKA NJEMA KWENU NYOTE NA BWANA AWABARIKI SANA!
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  thanx Ninja baraka za bwana ziwe nawewe katika kipindi chote cha pasala na ha milele
   
 3. Ninja

  Ninja JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 80
  amina.
   
 4. Kionambele

  Kionambele JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwana Yesu atujalie amani na upendo kipindi chote hiki. Ee Bwana wetu Yesu Kristo tunakusihi kusiwepo na ajali kipindi hiki na sote tusherehekee kwa amani, utulivu, upendo na furaha.
   
 5. Ninja

  Ninja JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 80
  Kweli kabisa ajali hizi Mungu aziepushe.
   
 6. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  FL1,
  Hicho ni kilugha gani!! Hata hivyo tubarikiwe sote pia.
   
 7. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Na mwana wa Mungu afufuke moyoni mwetu ili damu yake iliyomwagika iweze kutuweka huru
   
 8. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Bwana atubariki na kutulinda, aendelee kutuongoza katika njia itupasayo na muhimu zaidi afufuke mioyoni mwetu katika pasaka hii ili tuweze kubadili mienendo yetu na kufanya yote yanayompendeza yeye.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ameen!....Praise the LORD!
   
 10. Ninja

  Ninja JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 80
  haleluya! Sifa ni kwa bwana.
   
 11. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Pasaka njeama wana JF wote

  Kwa wapenzi wa nyama ya kondoo nawakaribisha!
   
 12. Ninja

  Ninja JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 80
  Mimi mmojawapo. Heri ya pasaka Maskini Jeuri.
   
Loading...