Mgolole waua abiria wa pikipiki...!

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
443
18
Mfugaji wa jamii ya Kimasai, Mariam Kibuda (45), mkazi wa kijiji cha Membo Maguha, Kata ya Gairo wilaya ya Berega mkoani Morogoro, amekufa papo hapo baada ya "mgolole" wake kuingia kwenye mnyororo wa pikipiki na kumkaba shingo kisha kumwangusha chini...

Inasikitisha jamani...
 
Wengi sana wanakufa kwa hizi pikipiki za Yeboyebo!...Zimekuwa too much!
Pole sana YERO MAASAI
 
Back
Top Bottom