Wazo langu,... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazo langu,...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisoda2, Mar 30, 2010.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Naja kwenu wadau wa jamvi hili la JF.
  Kutokanana hali ilivyo nchini kwetu(TZ).Majanga mbali mbali yanatukumba ilihali wakuu wa nchi hawayachukulii hatua madhubuti za kuyatatua kama siyo kuyamaliza kabisa bali hata kuyapunguza tu inakuwa shida.

  Nafikiria ingekuwa busara tukaanzisha taasisi (NGO) yetu kama wana JF/ama itakayo unganisha wale wote tunaokutana through blogs na kuweza kuchangishana kile kidogo tulicho nacho ili kuwa saidia wenye shida,mfano elimu,afya maisha duni etc,etc.

  Kwakufanya hivi natumai tutawasaidia walio wengi amba baadae wanaweza kuja kuwa viongozi bora zaidi katika taifa hili.

  Naomba kuwasilisha hoja.
  Ahsanteni.
   
Loading...