Mkuu, umekuwa mpoleeeeeee!Matumaini Mods wataiunganisha na iliyotangulia.
Mimi siku zote ni mpole...!
Nashukuru ndugu yangu kwa kuliona ilo, hata mimi nimejifunza mengi sana toka kwako haswa uvumilivu... ila siku hizi umehadimika sana mkuu, au shughuli zimekuwa nyingi?Naam naliafiki kabisa hilo Mkuu upole wako kama wangu tu na nimejifunza mengi sana toka kwako Mkuu. Mwenyezi Mungu akuzidishie kila ulitakalo Mkuu.
Inaonekana Tanzania ukiwa mdokozi unapoteza haki zako zote za msingi.
Inaonekana Tanzania ukiwa mdokozi unapoteza haki zako zote za msingi.
Ofisi ya kadhi si mahakama ya kushughulikia jinai!kama kitendo cha kuwatembeza uchi kinalalamikiwa, VIPI KUKATWA MIKONO?, MAANA HIYO ISSUE INGEFIKA KWA KADHI NA USHAHIDI WA ZAIDI YA WATU WATATU UPO, NADHANI HAO JAMAA SASA HIVI WANGEKUWA NA MKONO MMOJA MMOJA