Trafik Light Party saga:original na feki

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,071
15,928

Flier ya Traffic light FEKI

Hivi kweli unasubiri mtanzania mwenzio aanzishe kitu then wewe unataka tu kutengeneza pesa kwa kutumia idea zao?
Huyo ni uizi wa kiaina na vile vile unaweza kuwa sued,
Haya sasa kuna ma-dj fake wa huko Malaysia, dj sniper,dj slim etc wameamua kufanya TRAFFIC LIGHT PARTY huko Malaysia.
Kama mnavyojua Traffic light party, ilianzishwa na Mr.Gonga na Martin Jump Around. It was a great success in Bongo, Nimesikia huko London ndo kabisaa and I hear very soon inaenda Marekani.
Sasa huyo Dj Sniper ambae kwenye facebook page yake anajiita SNIPER MANTANA katoa hiyo Flier kama unavyoiona hapo juu, eti kaiweka facebook kawatag watu kibao wanaoishi Malaysia. Mie nimeiona last night kwenye facebook page ya mdogo wangu wa kiume ambae anasoma Malaysia so I was like kweli Traffic light party imekuwa international sasa imefika Malaysia.
Bahati nzuri au mbaya leo nimekutana na mmoja wa owners wa Traffic light party ,nikamwambia nimeona mnaenda kurusha another party in Malaysia msikose kunitumia picha for uturn and he was shocked , yani kama haelewi naongelea nini, baada ya kuingia facebook akaona, duh kumbe wajanja wameshaiba idea wanaitanganza traffic light party kama yao vile.
Guys, shame on you, shame on you mara 10 kama mmependa hiyo party ya traffic light waombeni wenye party mfanye, ofcourse u gonna have to give them something, ila sio fresh kumfanyizia mtanzania mwenzio..
Anyways, watanzania mliopo Malaysia msiende kwenye hiyo party just to teach them a lesson cos hao waandaji ni wajinga tu wasio na akili ya kufikiria kitu wenyewe na hawana hata ustaarabu wa kuomba rights ya kufanya hicho kitu, and im sure the party wont be the same cos its being done by CHEATS….
Nimeblock venue and date kwenye flier kwa makusudi cos sikuwa na haja ya kuwafanyia marketing kwa party ya wizi….
WATANZANIA TUPENDANE….

Flier ya Traffic light ya ukweli

Jamani watanzania mbona hatuna ustaarabu???

source;u-turn blog.

kwangu mimi sioni mantiki yoyote ya kukasirika kama mtu ka copy idea yako na kuitumia kwingine jamani,kwani nadhani kina gonga wenyewe sidhani kama walikua na mpango wa kwenda kufanya hiyo party malaysia.

Kweli kabisa BK... Unajua hata hii Restaurant maarufu ya Brake-point hapa Dar kuna watu wamechukua jina na kuanzisha Nairobi pamoja na London ila sidhani kama hawa wa hapa Dar walikuwa na mpango wa kuanzisha BP huko hivyo Gonga hana haja ya kukasirika...
 
BK kumbe wewe ni member wa U-turn.com ndo maana ukatulete ule msala.Lol
 
BK kumbe wewe ni member wa U-turn.com ndo maana ukatulete ule msala.Lol
mkuu si memba ila huwa nachekicheki kiaina wachumba kule,ila mada zingine huwa zinanivutia kuzileta hapa nasi tudiscuss.
 
Kweli kabisa BK... Unajua hata hii Restaurant maarufu ya Brake-point hapa Dar kuna watu wamechukua jina na kuanzisha Nairobi pamoja na London ila sidhani kama hawa wa hapa Dar walikuwa na mpango wa kuanzisha BP huko hivyo Gonga hana haja ya kukasirika...
thats ok for me,kama kila mtu akilalamika kama watu wameiga idea zao itakuwaje?google mwenyewe ka sarenda wachina wamemuanzishia kitu inaitwa goojle,mpaka imebidi alainike aanzishe google maalum ya kichina kabisa,namimi nawashauri kina frank wafanye fasta kuzunguka duniani kila mahali na hii paty yao kabla hawajaigwa.
 
Ni sawa na Mr Price... zile chain za SA kupambana na MR PRICE SUPERMARKETS za Moshi,Boma na Arusha...
 
babukijana...ngoja mwenye habari akushike, akulipue na mibomu ya matusi na kipondo juu,,,usije ukaniita nikuamue
 
babukijana...ngoja mwenye habari akushike, akulipue na mibomu ya matusi na kipondo juu,,,usije ukaniita nikuamue
atavunja kioo chake tu cha laptop,niko more than 10000 km kutoka alipo,by the way it aint nothn kujadili mada ambayo mwenyewe kaianzisha mrembo:cool:
 
huyo anaesema hii traffic light party kaanzisha yeye mzushi tu,yeye mwenyewe kaiga,ziko siku nyingi hizo theme party hasa kwa watoto wa universities,wengine pia hufanya za school girls wanavaa uniform za sekondari wanaingia nazo club.
 
Back
Top Bottom