naenda LAMU kupumzika pasaka hii

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,146
wajukuu zangu babu yenu naenda LAMU kupumzika pasaka hii...mwenye kutaka zawadi ani PM nimleteee
 
Asante Babu niletee nileteee
Usisahau Chocolate ,pipi na Biscuit
Furahia pasaka yako babu
 
wajukuu zangu babu yenu naenda LAMU kupumzika pasaka hii...mwenye kutaka zawadi ani PM nimleteee
Angalia ukiingia Hotelini utakuta tayari ushalipiwa na chenji yako warudishiwa, pia ukimkanyaga mguu mtu anakuomba msamaha kwa usumbufu aliopata wakati wa kumkanyaga
 
Hahahahahahah kila la heri Kigogo. Nilivyoona kichwa cha thread hii basi nikadhani imeanzishwa na..........LOL! mtajiju! Safari njema Kigogo. :)
 
nenda salama,lakini beware Lamu ni PWANI !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

kweli kabisa DAR si LAMU angalia wasije wakakupumzika ww!

Angalia ukiingia Hotelini utakuta tayari ushalipiwa na chenji yako warudishiwa, pia ukimkanyaga mguu mtu anakuomba msamaha kwa usumbufu aliopata wakati wa kumkanyaga

HUKO lamu kuna wazee wanatembea na vinyesi vya watu kwenye vibox na unusanusa kama ugolo

Hizi ni hisia au na ninyi yalishawakuta????:D:D:confused:
 
hao wazee washindwe na walegee!ufirauni gani huo!nasikia kutapika mie!duniani kuna wa2 wagonjwa sana yaani!
 
asanteni wajukuu zangu..kweli kabisa Dar na Lamu yote miji ya pwani lakini si sawa...LAMU mchana dongo lakini usiku kubwaaaaaaa
 
asanteni wajukuu zangu..kweli kabisa Dar na Lamu yote miji ya pwani lakini si sawa...LAMU mchana dongo lakini usiku kubwaaaaaaa
kamanda naona unataka kuwaletea watoto zawadi father-xmas style.....take care mkuu huko uendako....
 
yalaa waenda lamu mkuu, tafadhali viatu vikifunguka kamba kamwe usiiname kufunga yakhe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom