Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KIILIMO cha kutumia mbegu bora, kufuata utaalamu, kuweka mbolea za kupandia na kukuzia, kimepeleka kilio nyumbani kwa kikongwe wa miaka 70, Kisinza Jiga, ambaye aliuawa kwa kucharangwa mapanga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MARC NKWAME in Arusha, 9th May 2010 @ 16:00, DAILY NEWS TELEVISION stations have been warned against showing obscene pictures of grisly mutilated human bodies in their news programmes. The...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Monica Mbega. Serikali mkoani Kilimanjaro, imesema kamwe haitawavumilia makandarasi wanaokwenda kinyume na mkataba wa ujenzi wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
This is to wish all JF mothers (including myself) a Happy Mother's Day. May the God continue to Protect and Bless us with many more years so that our children can enjoy more of us. We are Wonderful!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1.Wale Baolojisti walioanzisha maisha Duniani,tokea walipoweka maisha ndani ya maji,mpaka binadamu wa kwanza wa utashi na akili alipotokea. walifurahihswa sana kuwaona hawa binadamu wa kwanza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yule baba aliyekuwa kwenye ile basi ya Greyhound huko Portsmouth, New Hampshire ambaye walisema kabeba bomu alikuwa ni MRundi!Na wala hakuwa na bomu! Alikuwa anaongea kwenye simu ya mkononi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nawapenda sana bila nyinyi tusingekuwepo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ABRAHAM: A Closer Look. By Voltaire[1]. [From: Online Library of Liberty: The Works of Voltaire, Vol. III (Philosophical Dictionary Part 1) http://oll.libertyfund.org/title/352] SECTION I...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania naombaen ushauri tumefanikiwa kupata mtoto hv karibuni lakini kuna msharti yananiumiza kichwa mtoto kuka miezi sita bila maji...na wanaumwa kwi kwi kweli kweli..inabidi apewe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Just curious, Nimekuwa niikipata hizi type of emails for sometimes now, swali langu ni je hawa mapopo kuna watu wanawakamata kwa stahili hii kweli? Lugha yenyewe ya kuunga unga? Case no 1...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MKOA WAREJESHA sh.milioni 300 bila kutumia Katika hali ya kushangaza na isiyo ya kawaida hata kidogo, Halmashauri za Wilaya Saba za Mkoa wa Iringa zimeshindwa kutumia zaidi ya shilingi milioni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama hii nguzo ikianguka na kuwabanika watu au kuwaua watu watasema ni mapenzi ya Mungu au mapenzi ya nguvu ya mvutano!?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lini tutajifunza ku-cut Cost yaani kila kukicha mambo yanazidi kuwa mambo... Hizi zote ni sherehe zetu kila siku zinaongezeka sijui mie najifunza ubahiri au? 1.Hinna party:confused2: 2.Bridal...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Vicheko Zimbabwe Wanawake wawili wana mpango wa kuanzisha klabu za kucheka Zimbabwe, nchi inayokabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi duniani. Shilpa Shah na Celina Stockill wanaamini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Enyi kizazi kilicholaaniwa,kisicho na aibu,chenye kupenda anasa na maisha bora ya haraka ni lini mtamrudia mwenyezi mungu?? Naomba leo hii niwaombe kuna vijana wa sasa wa dar yaani ni smart mzuri...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Can we have a micro-pig, mummy? The stars love them, but what's it really like to have one at home? Last updated at 12:20 AM on 8th May 2010 Cleaner and more intelligent than...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Isabella, Jacob are U.S. top baby names Cullen is the fastest-rising boy's name; ‘Twilight' effect? Special feature Most popular baby names of all time From Mildred to Madison...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani katika pita pita yangu kwa mbali nikaona Habari kwenye Gazeti la Dar Leo 'Vigogo BOT wafutiwa Mashtaka' lakini sikufanikiwa kulitia mikononi gazeti lenyewe. ni kina nani hao au Gazeti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimektauna na kesi moja mbaya ya ajali ya mwanvuli aliyopata mama mmoja jijini DSM. Mama yule ncha ya mwamvuli imemuingia puani na kutokea/ikatoka na jicho!! inatia imani, mama yule kabebwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimerushiwa e mail hii sasa hivi, mnasemaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…