Watoto wachanga kukaa miezi sita bila maji inawezekana?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wachanga kukaa miezi sita bila maji inawezekana??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 8, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,302
  Likes Received: 5,640
  Trophy Points: 280
  Watanzania naombaen ushauri
  tumefanikiwa kupata mtoto hv karibuni lakini kuna msharti yananiumiza kichwa
  mtoto kuka miezi sita bila maji...na wanaumwa kwi kwi kweli kweli..inabidi apewe maziwa..sasa ukikutana na wazazi wetu wansema tumepewa tuna wiki 2..ila kati ya hao sijaamua llolote nasubiri mawazo yenu..nichanganye na dk na yangu kabla ya kufikia uamuzi
  maana tumeambiwa tujaribu kuchanganya na mawazo yetu
   
 2. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Iwapo maziwa yanatoka vizuri kwa mama yake, basi hakuna haja ya kumpa maji wala chakula anagalau miezi 4. Mimi watoto wangu hukaa miezi 4 wakitumia maziwa tu. Hii inamsaidia mtoto kujenga mfumo mzuri wa kinga ya mwili na akili nzuri.
   
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Tread yako pia ina maswali mengi kuliko majibu. Kwanza hujatueleza ni hospital gani na mganga wa aina gani ametoa huo shauri ili tujue tutachangia kwa mtizamo wa engle ipi.
  Pili hujatueleza labda wazazi wa mtoto ama mtoto mwenyewe ana matatizo yapi yaliyosababisha hizo restrictions.
  Tatu umeshajiandaa kuchanganya na akili yako kwa ushauri ambao utapewa hivyo hapana sababu ya kutoa wowote. Mie sasa nalala bana, na kesho ni ibadani mpaka saa nane au tisa ya kibongo na baada ya hapo match ya kina Chealse, hivyo sijui kama nitafanikiwa tena kurudi jamvini kabla ya wakati huo. Bye and god9t JF.
   
 4. S

  Subira Senior Member

  #4
  May 9, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  i had the same experience nilipowauliza wataalam wamesema maji yanawashout immunity yao haraka hivyo ni bora kumaintain lakini mimi sikukubaliana nao hivyo nilimpa maji ingawa sio mengi yaani usimpe mara nyingi labda once per week.
   
Loading...