Ni Vigogo Gani BOT waliofutiwa Mashtaka?

Ni Vigogo Gani BOT waliofutiwa Mashtaka?

Albedo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
5,558
Reaction score
1,462
Jamani katika pita pita yangu kwa mbali nikaona Habari kwenye Gazeti la Dar Leo 'Vigogo BOT wafutiwa Mashtaka' lakini sikufanikiwa kulitia mikononi gazeti lenyewe. ni kina nani hao au Gazeti lilikuwa linauza?
 
Back
Top Bottom