Nyie watoto kutembea na mama zenu amwoni haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyie watoto kutembea na mama zenu amwoni haya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 7, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,259
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  Enyi kizazi kilicholaaniwa,kisicho na aibu,chenye kupenda anasa na maisha bora ya haraka
  ni lini mtamrudia mwenyezi mungu??
  Naomba leo hii niwaombe kuna vijana wa sasa wa dar yaani ni smart mzuri wameamua kutembea na wamama zao bila hiana tena wengine live kujiachia..mbaya zaidi inasikitisha wameanza kumbangiwa na vyumba mama anaaga anaenda safari aamwacha mume wake wa miaka 10 kwenye ndoa anaenda kulala koma koma,eeh nansema kama unanisikia si vizuri jamani..embu badiliken ,hata kama ni pesa mwombe mungu akupe kwa wakati muafaka jamani..hizi laana za kufungua uchi wa mama yako mnazipeleka wapi,..nimeenda mbezi beach yaani kuna vjana nao wameanzisha timu kabambe ya kufakamia hii mijimama

  mbaya zaidi aion haya inaka nayo bar na za ndnani ndani mf..kona ya kwanza tanki bovu,pa lili samaki,we kama mkeo mnywaji na ajarudi kazima simu jamani kuna vi grocery vinamaliza ndoa za watu..moja wa kijana nilipata kuongea nae anasema ndugu dunia ilishaisha hapa tunaimalizia,,wewe mpaka nina masters sijapata kazi yamaana
  mama anajilengesha nifanyeje..na mondoc navaa..jamani??jamani??kwelii kabisaaaaaaaaaa ......

  Mungu aturehemu ukiwa kama na wewe muathirika wa kutembea na mijimama ama wewe mwanamsichana mnaokimbilia baba zenu mkomeeeeeeee nasema mkomeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tena komeni ile ya ashb saa 0600 kabla jua alijakuchwa,,,achen kutuharibia ndoa za wazazi wetu bana,,hata kama awaridhishani wacheni watafute sehemu zingine,,,nimekwenda arisha ni aibu tupu kijana mzuri mtanashati ameamua kuishi na jimama kabisa kisa linampa

  """"""""ANKARA""""""""""""""""""""""""""""JAMANI....mmm
  NEEMA YA MUNGU TU YATOSHA
   
 2. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 3. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni umaskini na ujinga uliotutawala tuliowengi na hakuna kiongozi anaye litizama hili,
   
 4. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  .... It takes two to tango. na hao wamama na wababa wanaokubali kutembea na watoto wao????
   
 5. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  It's not an issue. Just surrender you life to God
   
 6. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Baba Desi, maneno yako juu ya mstari! Walaumiwe wote ma sugarmummy/daddy na hao viyanki vinavyotafuta pesa kwa nguvu.
   
 7. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  wakiambiwa wapiganie haki yao salary ipande waache kulalana na mama zao wanadengua wanakaaa moroco kijiweni wakipunga upepo
   
 8. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Waja wajirushu kwa uhuru wao mbona huwasemi wababa wanaowaacha wake zao na kujirusha na VICHENCHEDE?
   
 9. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kweli Bazazi kwanza hawa wazee ndio wase.. kabisa hawana adabu kabisa. Hawa nao ni wa kuwakemea kwa nguvu zote.
   
 10. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Ni wakati wake na hivyo hakuna mwenye uwezo wa kuuzuia. Bwana Yesu aki-predect kuhusu hizi nyakati za mwisho, alisema zitakuwa kama wakati wa Nuhu. Sasa ref, kisa cha malaika wawili huko sodoma ndipo utakapoweza kupata jibu la kile kinachoendelea sasa. Wacha wenye wazumu wa dunia hii wakijazilize kikombe cha divai ya shinikisho la ghadhabu ya Mungu Mwenyezi. Cha msingi ni mimi na wewe Pdidy kuomba Mungu ili usiwe ni miongoni mwa waasi wa Neno.
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu ktk hili uwezi kuzuia kwani ilishaandikwa kwenye bibilia so yanatimia tu ata ufanye nn kuyazuia ni kupingana na maandiko wala moyo wako usiumie mshike yesu tendamapenzi yake shika neno tenda neno mkuu akuna jambo jipya chini ya jua.
   
 12. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .........Nilidhani unazungumzia mtoto kutembea na mama yake mzazi au baba yake mzazi, kumbe unazungumzia mtoto kutembea na mtu mzima ambaye sio mzazi wake. Huu ndio ulimwengu wa sasa hakuna cha ajabu hapo, unaambiwa mtoto uliyomzaa usiomzaa mkubwa mwenzio.

  Dunia hii imekwisha kabisaaaaa kuna news moja nimesoma bibi anategemea kuzaa na mjukuu wake hivi karibuni..........walimwengu kweli wamechanganyikiwa.
   
Loading...