Msimu wa mvua jijini,mwamvuli umetoa mtu jicho..tuwe waangalifu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msimu wa mvua jijini,mwamvuli umetoa mtu jicho..tuwe waangalifu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzizi wa Mbuyu, May 6, 2010.

 1. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,070
  Trophy Points: 280
  Nimektauna na kesi moja mbaya ya ajali ya mwanvuli aliyopata mama mmoja jijini DSM.
  Mama yule ncha ya mwamvuli imemuingia puani na kutokea/ikatoka na jicho!! inatia imani, mama yule kabebwa na wasamalia wema hadi hospitali hivyo hivyo bila kuchomolewa mwamvuli ule... naona wameogopa kumuumiza zaidi.. humwangalii mara mbili jicho lake ni kama lime mwagika vile kwa nje na damu ina mtoka mnoooo ... jamani!!!!
  Nimeambiwa alikuwa kwenye daladala, kuna mtu alikuwa kwenye daladala hilo pia akiwa na mwamvuli ilhali ncha yake ameielekeza juu....breki za ghafla kukwepa ajali ndizo zilizo sababisha yakatokea hayo...
  ONYO: Ukiingia kwenye chombo chochote cha usafiri au ukiwa kwenye mkusanyiko wowote wa watu na una mwamvuli, hakikisha ncha yake inatazama chini na sio juu(yaani kishikio ndiyo kiwe juu), ni bora umtoboe mtu mguu kuliko kumpofua...
   
 2. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #2
  May 6, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Dah! ni hatari sana! mimi leo Asubuhi nawahi kwenye kibarua changu naingia kwenye daladala na mwavuli wangu tena kwa kusukumwa alimanusra ni mtoboe baba wa watu mguuni...
   
 3. bht

  bht JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mmmmmmmh!!!! inatisha.

  sijui hatuna mazoea au vipi!!! mimi leo nimeingia mgahawani mtu akawa mbele yangu anaukunja na ncha kaelekezea kwangu, nimempisha kw aupande wa ukutani na hakuwa anaangalia mbele yuko bize anauroll mwavuli karibu anitoboe tumbo...................
   
 4. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,354
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hatari! Leo wakati napanda daladala ya kutoka Ubungo kwenda Mwenge,alipanda mama mwenye mtoto nusura amtoboe mwanafunzi maana ncha aliushikilia na kuulekeza juu!! Duh noma sana!
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwakweli ustarabu ni ziro kabisa kwa watanzania nimeshuhudia maranyingi kweli ajali a mwamvuli mtu anaushikilia juu au kwambele anapopanda daladala bila kujali kabisa hivi na hili linahitaji elimu ya ziada kweli
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yani uwezi kuamini mm lazima angepata na mkongoto
   
Loading...