Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 34,199 Reaction score 44,217 May 8, 2010 #1 Kama hii nguzo ikianguka na kuwabanika watu au kuwaua watu watasema ni mapenzi ya Mungu au mapenzi ya nguvu ya mvutano!? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kama hii nguzo ikianguka na kuwabanika watu au kuwaua watu watasema ni mapenzi ya Mungu au mapenzi ya nguvu ya mvutano!?
M Magezi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2008 Posts 3,359 Reaction score 704 May 8, 2010 #2 Sidhani kama watendaji wa serikali na mashirika yake wanatambua hilo.
Kiby JF-Expert Member Joined Nov 16, 2009 Posts 6,933 Reaction score 4,706 May 9, 2010 #3 Duh, mzee mwanakijiji unanena kwa lugha za kimalaika au?