Happy Mother's Day all JF Mothers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Happy Mother's Day all JF Mothers

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Fixed Point, May 9, 2010.

 1. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #1
  May 9, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  This is to wish all JF mothers (including myself) a Happy Mother's Day. May the God continue to Protect and Bless us with many more years so that our children can enjoy more of us.
  We are Wonderful!
   
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  I wasn't even aware of it congrats all mamas includingi JF members.
   
 3. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #3
  May 9, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Asante Jayfour_King; Ndo maana tupo kukumbushana. Ni vizuri sasa umekumbuka, siku bado haijaisha, si vibaya ukawakumbuka wamama ambao upo nao karibu. Nina uhakika watafurahia
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ahsante sana Mkuu.

  Mimi nilipotea kidogo nikadhania kuwa ni jana. Hata hivyo ni siku muhimu sana kwa mama na dada zetu ambao wamekubali kubeba machungu mengi saaaana ili sisi tupate kuliona jua. Hakuna zawadi ya maana ambayo mtu anaweza kumpatia mamaye isipokuwa kumrudishia chembe walau kidogo ya upendo. Naomba tutafakari ni mambo mangapi tunafanya ambayo yanawaudhi mama zetu na kutesa mioyo yao? Tuwaombee kwa Mungu azidi kuwapa karama muhimu za upendo na uvumilivu.

  Mamangu alinambia kuwa, ukisema kwa mfano kwamba njaa inakuuma; ni mama yako tu anayeweza kukuelewa na kuihisi hiyo njaa kama unavyoihisi wewe mwenyewe. Pamoja na kuwapenda wapenzi wetu/wake zetu, usemi huo wa mama umebaki kuwa ukweli ninao ushuhudia katika maisha yangu ya kila siku!
   
 5. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #5
  May 9, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa Mkuu; hakuna kama mama.
   
 6. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  mkuu DC umeongea maneno muruwa kabisa,mama ni kama wewe mwenyewe ulivyo,ndio maana hata ukiwa kibaka au jambazi siku ukiuliwa au kuchomwa moto ni mama yako pekee atakayekulilia na kusikia uchungu,kwangu mimi mama ni kila kitu kwakweli,nilishangaa na kusikitika pale niliposikia mwanamuziki niliyekuwa namshabikia sana FALLY IPUPA
  alimuua mama yake kwa uchawi ili apate umaarufu,inawezekanaje?ila haya mambo yapo
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hongereni sana akina mama wote hapa JF na Dunia nzima!
  Lakini hasa, mbali ya siku kuwa yenu, mna ujumbe gani wa jumla kwa wanawake, ambao mngependa usambae dunia nzima??

  Ni matatizo gani kwa hapa Tanzania ambayo unaona ni ya akina mama zaidi katika familia, na yatasolviwa vpi?

  Tuendelee kuulizana maswali haya tukisherekea!
   
 8. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #8
  May 9, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Maswali mazuri sana PJ, nadhani haya yakiweza kujibiwa kiufasaha inaweza kusaidia sana, hasa Vulnerable women katika kila angle.
  Ngoja leo tule chocolate zetu huku tukiwaza hayo. Asante!
   
 9. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Na ukombozi wa kweli wa nchi yetu utatokana na upendo unaotoka nyumbani (kwa mama zetu) kwani ni upendo wa asili na ni katika mazingira ambayo kuna demokrasia ya kweli. Mama hawezi kuogopa kumwambia mwanae mpenzi ukweli na hivyohivyo mtoto hawezi kusahau au kuogopa kumwambia mama njaa inauma.
   
 10. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #10
  May 9, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Good point!
   
 11. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #11
  May 9, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Lakini pia wamama wengi ndo tunakosea hapo, kumpenda mwanao sio kumfuga hata akiwa na tabia mbaya. Nimeshuhudia wamama wengi wanawatetea sana watoto wao vibaka na wenye tabia mbaya, kisa wanasema "Uchungu wa Mwana". kweli utaumia sana mwanao akiwa na tabia mbaya, lakini (kwa maoni yangu) kumuadhibu ni kunyesha upendo zaidi kuliko kumtetea
   
Loading...