Kubadilika ni lazima ili tukabiliane na ushindani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubadilika ni lazima ili tukabiliane na ushindani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WomanOfSubstance, May 17, 2010.

 1. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Naomba waliokuwa wanafuatilia discussions hii kule kwenye utani na udaku basi waje hapa tuzungumze mambo serious.... tuendelee tukianzia na Katabazi

  [​IMG] Originally Posted by WomanOfSubstance [​IMG]
  @ Katabazi,
  Kubadilika ni mchakato - kwa kifupi. Huwezi kuamka siku moja na kubadilika.Utaanza na kutambua hali ilivyo kuwa its no longer business as usual, ujue unahitaji kujipanga upya. Utajiwekea mikakati kwa kujaribu kutafuta habari/taarifa zaidi.Nitalinganisha na kutengeneza Strategic plan - lazima ufanye SWOT analysis ujue uko kwenye mazingira gani - wapi uko imara, wapi uko hafifu, wapi kuna threats na wapi una fursa.....
  Nitakupa mfano -
  Strength - Sijui hasa ya jumla - naweza kujitathmini mimi binafsi au vikundi ( organisations, instutitions etc but not as a people or citizens.
  Weaknesses kubwa za Watanzania wengi ni longolongo, uvivu both wa kufikiri na kutenda ( it explains kutoka kwenda kunywa chai kila saa!), kukosa uaminifu hata wa mambo madogomadogo,
  Opportunities - nadhani tunaweza kuzijadili tuna rasilimali nyingi, tunazo fursa za kufanya mambo mbalimbali hata kujiendeleza kielimi ili tuwe katika hali ya kuuzika
  Threats - utandawazi unawaleta washindani karibu zaidi na sisi wakati hatujajiandaa kikamilifu....
  Nadhani kwa kujitambua huku tunaweza kujipanga vingine kupambana na changamoto.Believe u me it works lakini inahitaji kujitoa na kukubali maumivu.Hakuna kitu kigumu kama kukubali mabadailiko_Ofcourse hil nalo lahitaji uelewa wa mambo kwa kiasi fulani.Hutegemei mtu wa level ya chini sana kutumia njia hii, ila bado watu hawa wanahitaji uraghbishi, uhamasishaji, n.k. Nani atawafikia na kwa vipi thats another question.
   
Loading...