Ajira ya tanzania imegubikwa na rushwa tupu --mzee mwinyi(a.k.a. Ruksa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira ya tanzania imegubikwa na rushwa tupu --mzee mwinyi(a.k.a. Ruksa)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sijafulia, May 15, 2010.

 1. s

  sijafulia Member

  #1
  May 15, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  --ALALAMA UCHUMI UNAPOROMOKA
  --WATANZANIA WASIO NA SIFA KUKAMATA OFISI KUBWA NA KUACHA WENYE SIFA
  ---SERIKALI LAZIMA IWE MAKINI NA HILI ..VINGINEVYO TUTAJAZA MAPOPOMPO MAOFISINI

  Aliekuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh rais mwinyi amelalama na kulaani
  ajira nyingi za tanzania zinagawiwa kwa kutoa rushwa...amelaani hili wakati akigawa
  shada katika chuo cha IIT....mh mwinyi alisema inasikitisha watu wanakutwa makazini
  awana hamu ya kuhudumia kama wanavyotakiwa na hii ni kutokana na kupewa
  kazi bila kuwa na proffession ..just ama kwa kujuana ama kwa kutoa russhwa mbali
  mbali wengine mnazijua..akiwacha watu hoi ...wakishtuana

  amesema kwa style hii inadidmiza hadi uchumi wa nchi hakika serikali inaitajika kuwa
  makini kwa hili ...ni kweli wanapewa kazi mapopompo na kuachwa wale wenye ujuzi kamili

  hili ni sikitisho maana unakuta wanataaluma wengi wanazagaa mitaani na elimu yao
  kwenye mifuko.......

  Mh mwinyi vema kwa kulijua hili je we ulie huko jikoni utasaidiaje hili???
   
 2. G

  Godwine JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Inafurahisha sana maoni yake kwani ni mazuri sana lakini kinachonishangaza ni kwanini walipokuwawatawala awakutenda wanayoyaona kwa sasa ni mapungufu? wazee wetu mwinyi na mkapa wanayaona zaidi mapungufu ya utawala wa huyu bwana mdogo nadhani kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia ya maoni yao.
  serikali yetu ilishindwa kabla ya kuanza kwa awamu ya tatu bila ya kubadili uelekeo ni ndoto za alinacha tuu zitabaki na nchi itaelekea kwenye machafuko muda si mrefu kwani ukosefu wa ajira na ongezeko la umasikini ni kibiriti tosha kuwasha moto
   
Loading...