Azikiwe
Senior Member
- Nov 13, 2009
- 190
- 20
Habari watu wa JF?
Natanguliza samahani kuwa kichwa kilipashwa kusomeka Star Times Decoder
Kwa watumiaji wa Decoder za Star Times, naomba nisikie maoni yenu juu mambo haya:
1) Stations nyongi huwa hazipatikani kwa muda fulani fulani.
2) Vipindi vinavyoonyeshwa hujirudia mara kwa mara, yaani ni kama vile wanatuonyesha mikanda fulani!
3) Vipindi vinavyoonyeshawa ni vya siku nyingi mno!
4) Je kuna usalama hapa kweli? Au ndiyo usanii kama kawaida? Au ndiyo yale yale ya GTV?
5) Sasa tunafanyaje ili kuepuka na matatizo mbele ya safari?