Nataka kuungwa mkono kampeni ya kuundwa serikali ya tanganyika kwenye muungano! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuungwa mkono kampeni ya kuundwa serikali ya tanganyika kwenye muungano!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gozigumu, May 17, 2010.

 1. G

  Gozigumu JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanzania wenzangu nimekuwa nikitafakari sana jinsi Muungano wetu usivyo na USAWA kati ya washiriki wawili wa Muungano huu.

  Kuna mambo mengi yasioleta usawa katika Muungano huu na mojawapo ni kupewa upendeleo sehemu moja kuwa na Serikali inayojitegemea na upande mwengine kunyimwa BARAKA hiyo.

  Kwa kuanzia naamini tutkuwa tumeweka hali sawa kwa hili iwapo kutakuwa na Serikali ya Tanganyika. Naamini kuwa kila mpenda haki ataniunga mkono kukampeni kupatiwa kwa haki inayowastahikia sehemu moja ya Muungano. Nashangaa hawa waasisi wa Muungano walipata wapi model wa Muungano huu?
   
Loading...