you have been warned! so, dont try...Jana tu niliweka antivirus mpya kwenye PC yangu; sijui niijaribu kwa kutembelea huko!?
Shukrani mkuu kwa taarifa muhimu...............
kweli kabisa juzi ilinifanyia mbaya laptop yangu.
UNA EVIDENCE YOYOTE? itakuwa kazi sana kuja huko,tuazipenda pc zetu.Tunapenda kuwafahamisha wote kwamba swala la virus iliisha muda mrefu na sasa bongo5 ina sura mpya. Msisite kuitembelea, na kama ina tatizo yoyote msisite kuwasiliana nasi.
Asanteni sana!
Tunapenda kuwafahamisha wote kwamba swala la virus iliisha muda mrefu na sasa bongo5 ina sura mpya. Msisite kuitembelea, na kama ina tatizo yoyote msisite kuwasiliana nasi.
Asanteni sana!