Najisikia Mnyonge Sana!

Wakati huo huo bila shaka kuna kundi la watu ku'rejoice' na kufaidika kutokana na unavyojisikia. Pole sana bana. ndo systems zilivyo.
 
Naona huo msongo umeshanipata. Sioni nuru mwisho wa pango. Utusitusi tu umetawala - Kiwi cha macho cha Chonya wa Chilonwa!

Pole. Unakumbuka ule msemo 'kutesa kwa zamu'? Yana mwisho hayo yanayokukosha raha, kesho yataenda kumsumbua mwingine na wewe utajisikia raha tu.
 
Pole. Unakumbuka ule msemo 'kutesa kwa zamu'? Yana mwisho hayo yanayokukosha raha, kesho yataenda kumsumbua mwingine na wewe utajisikia raha tu.

Mkuu....umesema vyema. Ni swala la muda Tu......mku companero, take it easy. Mula mm naona mwanga tens mkali mbele.
 
Mkuu....umesema vyema. Ni swala la muda Tu......mku companero, take it easy. Mula mm naona mwanga tens mkali mbele.

binam ulikuwa unakimbilia wapi.....pole companero hayo ni mambo ya maisha, usijali yataisha tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom