Star media jipangeni

Star media jipangeni

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,261
Kwa wateja wanaotumia king'amuzi toka starmedia inakuwa kero kwani picha zinakwamakwama sana kiasi cha kuchosha na kufikiria kutolipia tena. Kama mnatusikia fanyieni kazi hili suala kwani wateja hawatarudi kulipia. Pia hizo chanel za kifaransa hazitusaidii, labda mfanye tafsiri. Mjitahidi katika hayo. Tunahitaji mawimbi yasiyo na mawaa. Antena zetu ziko poa kabisa
 
mwanzo mgumu mkuu vumilia mambo yatakuwa bomba bongo ndo tulivyo tunakurupuka kwanza kujipanga baadae
 
Kwa wateja wanaotumia king'amuzi toka starmedia inakuwa kero kwani picha zinakwamakwama sana kiasi cha kuchosha na kufikiria kutolipia tena. Kama mnatusikia fanyieni kazi hili suala kwani wateja hawatarudi kulipia. Pia hizo chanel za kifaransa hazitusaidii, labda mfanye tafsiri. Mjitahidi katika hayo. Tunahitaji mawimbi yasiyo na mawaa. Antena zetu ziko poa kabisa

Mimi nilidhani ni tatizo langu tu kwa kuwa sababu naishi huku madongo kuinama. Inabidi wajirekebishe manake haina hata raha, mara upate vizuri mara ukwame kwame eeh, lakini ndo bidhaa za kichina zilivyo!
 
Mie nina bahati kwani haijawahi kunisumbua ingawaje kweli channels za kifaransa zimejaa.,sio mtaalamu wa mambo haya lakini nimekuwa nikijiuliza kama inawezekana wakaongeza local channels.
 
Ni kweli wakuu lakini kombe ndo hilo linakuja. Sijui kama watakuwa wamestabilize hadi wakati huo. Inaboa kweli. Labda mbongo utuambie inakuwaje haikusumbui. Au uko nyanda za juu?
 
Back
Top Bottom