Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WANANCHI wa Kitongoji cha Salamiti, Tarafa ya Mtimbira, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, wamemsulubu mkazi wa Kitongoji hicho, Joseph Mbulimika ( 40) kwa kipigo hadi kumsababishia kifo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi karibuni tumesikia ya kwamba tanesco kanzia 1jan watapandisha bei ya umeme. Mbali na hilo Tanesco imekuwa ikipambana dhidi ya kuondoa/kupunguza vishoka wanaojitokeza kufanya shughuli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu jana nilichelewa kulala kidogo na nikawa nasikiliza redio (it was Clouds Fm) na ilikuwa mida ya kipindi kilichoitwa 'ALA ZA ROHO' na Loveness Love. Of course alikuwa na mada nzuri kuhusu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimepata habari toka kwa rafiki yangu kuwa mpiga picha wa ITV - Arusha aliyemtaja kwa jina moja la Abuu anayefanya kazi na Mwanaid Mkwizu alipata ajali jana na kufariki maeneo ya mwanga. Tunaomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MTANDAO wa Wikileaks umeendelea kufichua taarifa zinazotokana na nyaraka za siri, na safari hii imeitaja Tanzania kuwa moja ya nchi kumi zinazotumiwa zaidi kama kituo cha kupitishia dawa za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
mimi na familia yangu nawatakia JF member wote sikukuu njema ya krismasi na furaha ya mwaka mpya.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WATU wanne wakiwemo watatu wa familia moja, wamepoteza maisha kwa kugongwa na gari katika ajali ya barabarani iliyotokea juzi katika barabara ya Shinyanga -Nzega katika kijiji cha Usanda, wilaya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
UMATI wa wanakijiji wa Kijiji cha Borenga, Kata ya Kisaka wilayani Serengeti, Mara, jana ulishuhudia jambo adimu kutokea katika jamii, baada ya Mzee Maro Hagare kukataa kuupokea mwili wa mke wake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe jana alipandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kigoma akikabiliwa na shitaka la kumtoa kwa nguvu mtuhumiwa mmoja aliyekuwa chini ya ulinzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Over Sh3 billion to be spent on alcohol today Send to a friend Friday, 24 December 2010 23:06 By The Citizen Team Dar es Salaam. On average, nearly...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://http://www.youtube.com/watch?v=THcbQyFtCq (happy Christmas from Sonara)
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Habari zenu wake kwa waume ktk hili jukwaa. Nina mpango wa ku purchase gari aina ya ISUZU wizard,Naomba uzoefu wenu juu ya gari aina hii NB: uzuri wake na matatizo yake, pia mnaweza kunipa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Faru kulindwa kwa mitambo maalumu Na Reuben Kagaruki WIZARA ya Maliasili na Utalii itawawekea mitambo ya kisasa zaidi faru wanne waliobaki baada ya mwenzao kuuawa na majangili ili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwendesha pikipiki achomwa moto bure Na Jovither Kaijage, Ukerewe MWENDESHA pikipiki mmoja ameuawa na wananchi katika wilaya ya Ukerewe, Mwanza baada ya kugongwa na baiskeli, katika...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
1. Tanzania as a Country (through mikataba ya ajabu Dowans e.t.c) 2. Tanzanians (wananchi.... maisha yanaendelea kuwa magumu) 3. Tanesco (Kampuni inayotuangusha) 4. ....................... 5...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
A Christmas Greeting From a Muslim Daughter By: Kari Ansari When I became a Muslim thirteen years ago this month, I left behind the Christmas traditions my family celebrated every year of my...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
**************** ******* **** ** Nawatakia Watanzania Wote na Wasomaji Wa JamboForums.Com Duniani Pote: SteveD.
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Kuna watu watatu wameuwawa, usiku wa manane, kwa madai ya kugombea ardhi kati ya wakulima na wafugaji (wamasai) wilayani Kiteto. Inasemekana marehemu walikuwa wakifanya tambiko la asili ili risasi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WALIMU NI BORA ZAID YA WANASIASA. KWASABABU KILA MWANASIASA KAPITIA KWA MWALIMU LAKINI HAKUNA MWALILMU ALIYEPITIA KWA MWANASIASA. PIA NDIO WALIOTUTOA UJINGA MPAKA TUKAJUA HATA "A" LAKINI KWANINI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajumbe tujadili kuhusu bei ya umeme wa tanesco
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom