madalali watapandisha kodi za nyumba za kupanga mpaka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

madalali watapandisha kodi za nyumba za kupanga mpaka lini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamlock, Jan 3, 2011.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  tunateseka sana na hawa madalali jamani kwa nini mmiliki wa nyumba asiwe anakwenda kutoa tangazo kuwa anapangisha kuliko kukabidhi hawa watu wanaotaka pesa zetu uku wakiwa wamekaa chini ya miti wakijivutia sigara
   
Loading...